Upinzani kwa ujumla tunamuhitaji sana Halima Mdee. Msiwalaumu wao, wa kulaumiwa ni Hayati Magufuli

Upinzani kwa ujumla tunamuhitaji sana Halima Mdee. Msiwalaumu wao, wa kulaumiwa ni Hayati Magufuli

Upinzani kwa ujumla tunamuhitaji sana Halima Mdee msiwalaumu Covid-19 wa kulaumiwa ni JPM

Kiukweli, pamoja na yalotokea still upinzani tunamuhitaji mtu kama Halima Mdee

Halima Mdee ni asset muhimu kwa nchi yetu

Najua mCCM mnammezea mate sana lakini mtamuota sana huyu mtamuota sana na hawezi kwenda CCM

Chanzo cha yote hayo ni Magufuli, yule alipora ushindi wa majimbo yote ya Upinzani akamaliza akawagawa viongozi wa upinzani kwa kuwatisha na kuwablackmail

Mdee na wenzake walikosea ndio ila tunawahitaji sana upinzani
Aisome Erythrocyte kwa utulivu
 
Huyo Halima alikuwa na shida gani ya kimaisha hadi akubali kutumika kufunika ubaya wa JPM Watu wanaoendekeza matumbo yao ni hatari na hawapaswi kuaminiwa. Nitawapuuza sana Chadema kama watawarejesha akina Halima na genge lake.
Jiweke kwenye viatu vyao halafu niambie ungefanyaje. Jifanye wewe ni Nusrat Henje, umetumikia kifungo rumande bila hatia kwa siku 120, halafu siku moja milango ya gereza inafunguliwa unaambiwa utoke. Kisha uende mahali ukaapishwe kuwa mbunge wa viti maalum.

Je ungeng'ang'ania kubaki rumande?.

Mambo ya mwaka 2020 yalikuwa ni ajali kwa watanzania wote kutokana na lile DUBWASHA tulilolizika Chato. Hakuna mwenye kosa kati ya hao 19. Huo ukurasa ufungwe TUJIPANGE UPYA na hawa akina Halima
 
Upinzani kwa ujumla tunamuhitaji sana Halima Mdee msiwalaumu Covid-19 wa kulaumiwa ni JPM

Kiukweli, pamoja na yalotokea still upinzani tunamuhitaji mtu kama Halima Mdee

Halima Mdee ni asset muhimu kwa nchi yetu

Najua mCCM mnammezea mate sana lakini mtamuota sana huyu mtamuota sana na hawezi kwenda CCM

Chanzo cha yote hayo ni Magufuli, yule alipora ushindi wa majimbo yote ya Upinzani akamaliza akawagawa viongozi wa upinzani kwa kuwatisha na kuwablackmail

Mdee na wenzake walikosea ndio ila tunawahitaji sana upinzani
Chadema wawasamehe COVID-19 Sasa.

Pascal Mayalla JokaKuu brazaj
 
Jiwe mtamlaumu bure, lakini issue ilikuwa ndani ya chadema yenyewe. Kuna viongozi walianza kuwagawia mahawala zao nafasi za ubunge wa viti maalumu, Halima akiwa mwenyekiti wa bawacha akapinga, akasema bawacha ihusishwe kwenye uteuzi wa viti maalumu. Bawacha ikatoka na orodha yake, na wale viongozi nao wakatoka na orodha yao: Mwenyechama akaside upande wa Halima. Wale viongozi wengine wakafura kama wamekunywa chai ya hamira!
Duuuh
 
Jiweke kwenye viatu vyao halafu niambie ungefanyaje. Jifanye wewe ni Nusrat Henje, umetumikia kifungo rumande bila hatia kwa siku 120, halafu siku moja milango ya gereza inafunguliwa unaambiwa utoke. Kisha uende mahali ukaapishwe kuwa mbunge wa viti maalum.

Je ungeng'ang'ania kubaki rumande?.

Mambo ya mwaka 2020 yalikuwa ni ajali kwa watanzania wote kutokana na lile DUBWASHA tulilolizika Chato. Hakuna mwenye kosa kati ya hao 19. Huo ukurasa unfungwe TUJIPANGE UPYA na hawa akina Halima
Kabisa!!
 
Chadema wawasamehe COVID-19 Sasa.

Pascal Mayalla JokaKuu brazaj

Kwani Nkulunziza anasema je? Izingatiwe Nkurunziza siyo Nkulunziza.

Matatizo yetu yaliangaziwa vyema huku:

Ukombozi dhidi ya CCM utapatikana na wanaharakati sio na wanasiasa

Kumbe ni nini basi kinachotuunganisha pamoja?! Kwamba hawa ni wenzetu, ila tu walikuwa na njaa yao ya pesa wakati huo?

Looh!

Si kuwa wenzetu walikuwa Hawa kina Mwabukusi na kina Slaa tulioamua kiaina kuwachinjia baharini?

Kwanini Wakili Mwabukusi na wenzake wanastahili kuungwa mkono

Kuwa hatuwaelewi mashoga, wala wapalestina ila wenye njaa zao?

Looh!

Kumbe tutaacha vipi kuzielewa frustrations za wenye kudhani sauti zao haziheshimiwi chamani?

Kwamba chamani Leo, kuna wanaojidhania ni custodians zaidi kuliko wengine?

Kuelekea 2025 - CHADEMA kuweni macho na Wenje Ezekiel, huyu ni pandikizi la CCM, deal naye perpendicularly!

Haya si ndiyo ya CCM na Tanzania?

Hadi demokrasia itakapo tamalaki kwenye chama hiki, safari bado sana!

imhotep, JokaKuu, Pascal Mayalla na wale wazalendo wengine na hasa aina za kina Retired Kwa utambuzi.
 
Upinzani kwa ujumla tunamuhitaji sana Halima Mdee msiwalaumu Covid-19 wa kulaumiwa ni JPM

Kiukweli, pamoja na yalotokea still upinzani tunamuhitaji mtu kama Halima Mdee

Halima Mdee ni asset muhimu kwa nchi yetu

Najua mCCM mnammezea mate sana lakini mtamuota sana huyu mtamuota sana na hawezi kwenda CCM

Chanzo cha yote hayo ni Magufuli, yule alipora ushindi wa majimbo yote ya Upinzani akamaliza akawagawa viongozi wa upinzani kwa kuwatisha na kuwablackmail

Mdee na wenzake walikosea ndio ila tunawahitaji sana upinzani
Mshukuru mungu kakujalia vijiakili vya kuchambia ....rais mzalendo alaumiwe kwa lipi HAKI NI ZAIDI YA MAENDELEO NA MAENDELEO NI ZAIDI YA DEMOKRASI NA DEMOKRASI NI ZAIDI YA SIASA ...
Watanzania wanataka haki na maendeleo tu hivyo rais afanyaye haki na kuleta maendeleo huyo ni bora kuliko wote.
 
Mtafutieni Chama, Chadema kishapoteza nafasi yake, kwanza kishatosheka, Hela ya Usaliti aliyolipwa na Jiwe tukiiweka hapa inaweza kuongeza chuki kubwa sana miongoni mwa wananchi, hela ile ilikuwa kufuru
Hii ndio kauli yetu barikiwa Erythrocyte
 
Nkurunzinza ndio nani??

IMG_20240808_130532.jpg
 
..wakina mama 19 watafutiwe chama kingine cha upinzani.

..kuwarudisha Chadema kutawavunja moyo waliounga mkono chama dhidi ya hao 19.

Mwenye kufanya kazi ya kuwatafutia vyama ni yule yule mwenye kuwatafutiaga kazi?
 
Jiweke kwenye viatu vyao halafu niambie ungefanyaje. Jifanye wewe ni Nusrat Henje, umetumikia kifungo rumande bila hatia kwa siku 120, halafu siku moja milango ya gereza inafunguliwa unaambiwa utoke. Kisha uende mahali ukaapishwe kuwa mbunge wa viti maalum.

Je ungeng'ang'ania kubaki rumande?.

Mambo ya mwaka 2020 yalikuwa ni ajali kwa watanzania wote kutokana na lile DUBWASHA tulilolizika Chato. Hakuna mwenye kosa kati ya hao 19. Huo ukurasa ufungwe TUJIPANGE UPYA na hawa akina Halima

..wajiunge Ccm ambao wamewalinda muda wote huu.

..au wajiunge na chama kingine cha upinzani.

..kurudi Chadema kutachafua taswira ya chama mbele ya wananchi.

..watu waliwasamehe na kuwavumilia Chadema ktk uamuzi wa kumchukua Lowassa, sasa sidhani kama wataendelea na moyo uleule kwa kuwarudisha " covid 19. "
 
Back
Top Bottom