Bila kua na msimamo, utaua vyama bure, Halima ni hatare kuliko hata CCM.Upinzani kwa ujumla tunamuhitaji sana Halima mdee msiwalaumu Covid-19 wa kulaumiwa ni JPM
Kiukweli, pamoja na yalotokea still upinzani tunamuhitaji mtu kama halima Mdee...
Ukweli ndiyo huo.Bila kua na msimamo, utaua vyama bure, Halima ni hatare kuliko hata CCM.
Unaboa kila uzi Magufuli! Hangaika na Hamas yakoUpinzani kwa ujumla tunamuhitaji sana Halima Mdee msiwalaumu Covid-19 wa kulaumiwa ni JPM
Kiukweli, pamoja na yalotokea still upinzani tunamuhitaji mtu kama Halima Mdee
Halima Mdee ni asset muhimu kwa nchi yetu
Najua CCM mnammezea mate sana lakini mtamuota sana huyu mtamuota sana na hawezi kwenda CCM
Chanzo cha yote hayo ni Magufuli, yule alipora ushindi wa majimbo yote ya Upinzani akamaliza akawagawa viongozi wa upinzani kwa kuwatisha na kuwablackmail
Mdee na wenzake walikosea ndio ila tunawahitaji sana upinzani
Kwenye siasa hakuna adui wa kudumu, mwaka 2025 Mh SSH atagombea urais kupitia chadema na mgombea mwenza atakuwa aikaeli freeman Mbowe, huku tundu lisu akigombea ubunge ili aje kuwa waziri mkuu.Upinzani wa Tanzania ni hovyo saana.
Mshaanza kuwapigia debe tena na juzi mlikuwa mnawapiga mawe.
Nimeanza kuziona dalili za wale wanawake 19 wote kurudishwa Chadema, dalili zenyewe zipo wazi kuanzia kwa kauli za baadhi ya viongozi, mpaka kwa watu wa sampuli ya mleta mada.
Baadhi ya wale wanawake kuwa na waume zao uongozini mpaka leo Chadema, ni dalili kubwa ya kwanza.
Duh! Yani maoni ya mtu mmoja umeshakimbilia kulaumu upinzani. CHADEMA ilishawafukuza zamani.Upinzani wa Tanzania ni hovyo saana.
Mshaanza kuwapigia debe tena na juzi mlikuwa mnawapiga mawe.
Hakuna kitu Kama hicho. Huwezi kurudisha watu ambayo tayari wameshafukuzwa na kamati kuu na Baraza na pia wameshaenda mahakamani kupinga maamuzi ya chama.Nimeanza kuziona dalili za wale wanawake 19 wote kurudishwa Chadema, dalili zenyewe zipo wazi kuanzia kwa kauli za baadhi ya viongozi, mpaka kwa watu wa sampuli ya mleta mada.
Baadhi ya wale wanawake kuwa na waume zao uongozini mpaka leo Chadema, ni dalili kubwa ya kwanza.
Huyo Halima alikuwa na shida gani ya kimaisha hadi akubali kutumika kufunika ubaya wa JPM Watu wanaoendekeza matumbo yao ni hatari na hawapaswi kuaminiwa. Nitawapuuza sana Chadema kama watawarejesha akina Halima na genge lake.Upinzani kwa ujumla tunamuhitaji sana Halima Mdee msiwalaumu Covid-19 wa kulaumiwa ni JPM
Kiukweli, pamoja na yalotokea still upinzani tunamuhitaji mtu kama Halima Mdee
Halima Mdee ni asset muhimu kwa nchi yetu
Najua CCM mnammezea mate sana lakini mtamuota sana huyu mtamuota sana na hawezi kwenda CCM
Chanzo cha yote hayo ni Magufuli, yule ibilisi alipora ushindi wa majimbo yote ya Upinzani akamaliza akawagawa viongozi wa upinzani kwa kuwatisha na kuwablackmail
Mdee na wenzake walikosea ndio ila tunawahitaji sana upinzani
Hakua na shida ishu jiwe aliwablackmail hawa wanawakeHuyo Halima alikuwa na shida gani ya kimaisha hadi akubali kutumika kufunika ubaya wa JPM? Watu wanaoendekeza matumbo yao ni hatari na hawapaswi kuaminiwa. Nitawapuuza sana Chadema kama watawarejesha akina Halima na genge lake.
Basi watakula jeuri yao, maana jiwe alifariki miezi mitano baada ya uchaguzi ule, mbona hawakuachana na huo ubunge badala yake wakaenda mahakamani?Hakua na shida ishu jiwe aliwablackmail hawa wanawake
Labda matumbo yao yalikua na chango/kiherehere cha uzazi.Huyo Halima alikuwa na shida gani ya kimaisha hadi akubali kutumika kufunika ubaya wa JPM? Watu wanaoendekeza matumbo yao ni hatari na hawapaswi kuaminiwa. Nitawapuuza sana Chadema kama watawarejesha akina Halima na genge lake.
Mimi nadhani umemtamani tu kwenye hiyo picha !
Upinzani kwa ujumla tunamuhitaji sana Halima Mdee msiwalaumu Covid-19 wa kulaumiwa ni JPM
Kiukweli, pamoja na yalotokea still upinzani tunamuhitaji mtu kama Halima Mdee
Halima Mdee ni asset muhimu kwa nchi yetu
Najua CCM mnammezea mate sana lakini mtamuota sana huyu mtamuota sana na hawezi kwenda CCM
Chanzo cha yote hayo ni Magufuli, yule alipora ushindi wa majimbo yote ya Upinzani akamaliza akawagawa viongozi wa upinzani kwa kuwatisha na kuwablackmail
Mdee na wenzake walikosea ndio ila tunawahitaji sana upinzani
Jiwe mtamlaumu bure, lakini issue ilikuwa ndani ya chadema yenyewe. Kuna viongozi walianza kuwagawia mahawala zao nafasi za ubunge wa viti maalumu, Halima akiwa mwenyekiti wa bawacha akapinga, akasema bawacha ihusishwe kwenye uteuzi wa viti maalumu. Bawacha ikatoka na orodha yake, na wale viongozi nao wakatoka na orodha yao: Mwenyechama akaside upande wa Halima. Wale viongozi wengine wakafura kama wamekunywa chai ya hamira!Hakua na shida ishu jiwe aliwablackmail hawa wanawake