Pre GE2025 Upinzani nchini hauna ngome wala uhakika wa kushinda hata kiti kimoja kwenye uchaguzi Serikali za Mitaa wala uchaguzi mkuu baadae mwaka ujao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Maza hata akishindana na Aisha Manula Manula anashinda mapema sn, hakuna mtu anamtaka zaidi ya mafisadi ya mali za umma
 
kama fursa zipo na zinaonekana kwanini kuficha?

ni vizuri scholarship hizo kama zipo ziwekwe wazi wenye nia na sifa stahiki waweze kuomba na kujiendeleza kielimu, kwani mbaya ni nini πŸ’
 
inspite all the weaknesses that opposition has in Tz politics, we must respect each other, and if you feel tired, and you don't have new or alternative ideas concerning the motion on the flow,
respect each other? Ooops, respect? with all false and stupid allegations? Ok noted
 
respect each? Ooops, respect? with all false and stupid allegations? Ok noted
Yes,
relax gentleman,

and avoid false beliefs and superstition in politics πŸ’
 
wewe ndio unayehubiri respect? Tuache unafiki
ni muhimu sana, mama Ima ni mchokozi always katika kila hoja yangu hasa tangu awe mwenyekiti bawacha kanda ya kaskazini πŸ’
 
Hali unaiona hivyo kutokana na matatizo yako ya akili. Kwa hiyo swali lako halina mantiki. Labda ungeuliza kuwa kwa nini wewe binafsi unaona hali ipo hivyo unavyoona? Na jibu ndiyo hilo, ni kutokana na tatizo lako la afya ya akili ndiyo maana unayaona hata yasiyokuwepo. Na hiyo hali ni ya kawaida kwa watu wenye shida ya afya ya akili.
 
waerevu wa nyakati hizi bana ni kichekesho 🀣

gentleman,
ukiwa mmechoka ama umefikia kiwango chako cha ukomo wa kua na mawazo mapya au fikra mbadala dhidi ya hoja iliyoko mezani, si upumzike tu gentleman,

ya nini kujitesa na kujitambulisha kama umechoka, umefilisika hoja na kwamba uko na shida kwenye engine ya fikra?
hoja nyingine ni nzito mtaumia...

hata hivyo,
pole sana kwa hali hiyo nzito sana unayoipitia,
nitakuombea baraka na neema za Mungu utapona kabisa.
Muhimu sana amini Mungu anaweza πŸ’
 
acha kushikiwa akili
 
acha kushikiwa akili
usipanic,
relax tu gentleman ..

na ikiwa huna hoja, mawazo mapya wala fikra mbadala dhidi ya hoja nzito iliyoko mezani una kaa kimya tu kufuatilia wenye hekima, Busara fikra pevu na wataalamu wa siasa za vyama vingi wanavyodadavua mambo haya kwa kina,

itakusaidia sana kuongeza ufahamu na uelewa wa kutosha juu ya mambo haya πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…