Pre GE2025 Upinzani nchini hauna ngome wala uhakika wa kushinda hata kiti kimoja kwenye uchaguzi Serikali za Mitaa wala uchaguzi mkuu baadae mwaka ujao

Pre GE2025 Upinzani nchini hauna ngome wala uhakika wa kushinda hata kiti kimoja kwenye uchaguzi Serikali za Mitaa wala uchaguzi mkuu baadae mwaka ujao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mgombea anayeota vyama vya upinzani visisimamishe wagombea, anayeota chama chake kitoe fomu Moja yake pekee, ni mgombea dhaifu na duni, asiyejuamini.

Ndio maana nasema, chama Cha mambuzi kitakuja na mgombea atakayeweza kushindana na upinzani Imara.

Bado hesabu za kisiasa zinasema HATOGOMBEA!!
Maza hata akishindana na Aisha Manula Manula anashinda mapema sn, hakuna mtu anamtaka zaidi ya mafisadi ya mali za umma
 
kama fursa zipo na zinaonekana kwanini kuficha?

ni vizuri scholarship hizo kama zipo ziwekwe wazi wenye nia na sifa stahiki waweze kuomba na kujiendeleza kielimu, kwani mbaya ni nini 🐒
 
inspite all the weaknesses that opposition has in Tz politics, we must respect each other, and if you feel tired, and you don't have new or alternative ideas concerning the motion on the flow,
respect each other? Ooops, respect? with all false and stupid allegations? Ok noted
 
respect each? Ooops, respect? with all false and stupid allegations? Ok noted
Yes,
relax gentleman,

and avoid false beliefs and superstition in politics 🐒
 
wewe ndio unayehubiri respect? Tuache unafiki
ni muhimu sana, mama Ima ni mchokozi always katika kila hoja yangu hasa tangu awe mwenyekiti bawacha kanda ya kaskazini 🐒
 
Ni bayana,
Upinzani nchini mpaka sasa hawana ngome wala uhakika wa mahali au eneo la uchaguzi ambalo wanaweza kishinda hata kiti kimoja tu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu, na ule wa diwani au mbunge kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao...

Kwenye nafasi ya Urais upinzani ni wanyonge na wadhaifu mno, hakuna haja ya kueleza sana mambo ambayo ni wazi yanaonekana mchana kweupe...

Hata hivyo,
Inafurahisha sana kuona kwamba, wapinzani wote katika ujumla , umoja na migawanyiko yao, katika hili la uchaguzi mkuu ujao, kwenye nafasi ya Rais watamuunga mkono Dr. Samia Suluhu Hassan endapo ataridhia ombi lao na matarajio ya waTanzania walio wengi, kwamba aridhie kugombea urais tena Urais akamilishe ngwe ya pili ya uongozi wake, kwani Taifa katika ujumla, umoja na mshikamano wake, wananchi walio wengi zaidi wanaridhishwa na kasi yake ya maendeleo, mtindo wa uongzi wake mahiri na madhubuti, mipango mikakati yake makini na muhimu sana yenye maslahi mapana ya waTanzania wote..

Na kwa hali ya kisiasa ilivyo kwa sasa, hakuna hatari au kitisho kwa mtaa, kata au jimbo lolote la uchaguzi linaloweza kuangukia mikononi mwa upinzani dhaifu sana unaoiunga mkono serikali sikivu ya CCM...

Huu ni uzalendo wa kiwango cha juu sana kwa uhai na ustawi wa demokrasia nchini....

Unadhani,
Ni kwanini hali hii ya kutokuwa na uhakika wa ngome wala uhakika wa kushinda uchaguzi hata kiti kimoja, imewazonga sana wapinzani hasa wakati huu muhimu tunapoelekea kukamilika kwa maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu baadae mwakani?🐒
Hali unaiona hivyo kutokana na matatizo yako ya akili. Kwa hiyo swali lako halina mantiki. Labda ungeuliza kuwa kwa nini wewe binafsi unaona hali ipo hivyo unavyoona? Na jibu ndiyo hilo, ni kutokana na tatizo lako la afya ya akili ndiyo maana unayaona hata yasiyokuwepo. Na hiyo hali ni ya kawaida kwa watu wenye shida ya afya ya akili.
 
Hali unaiona hivyo kutokana na matatizo yako ya akili. Kwa hiyo swali lako halina mantiki. Labda ungeuliza kuwa kwa nini wewe binafsi unaona hali ipo hivyo unavyoona? Na jibu ndiyo hilo, ni kutokana na tatizo lako la afya ya akili ndiyo maana unayaona hata yasiyokuwepo. Na hiyo hali ni ya kawaida kwa watu wenye shida ya afya ya akili.
waerevu wa nyakati hizi bana ni kichekesho 🤣

gentleman,
ukiwa mmechoka ama umefikia kiwango chako cha ukomo wa kua na mawazo mapya au fikra mbadala dhidi ya hoja iliyoko mezani, si upumzike tu gentleman,

ya nini kujitesa na kujitambulisha kama umechoka, umefilisika hoja na kwamba uko na shida kwenye engine ya fikra?
hoja nyingine ni nzito mtaumia...

hata hivyo,
pole sana kwa hali hiyo nzito sana unayoipitia,
nitakuombea baraka na neema za Mungu utapona kabisa.
Muhimu sana amini Mungu anaweza 🐒
 
ahaneni na kutegemea miujiza, ushirikina na uchawi kwenye uchaguzi ndrugu zango 🐒

elections is a very long process.and for sure it is very expensive exercise...

there is no way wengine wako field wanafanya engagements na consultations na wananchi,

then wew uibuke mwishoni ukiamini ushirikina wako eti ushinde uchaguzi, thubutu 🤣
acha kushikiwa akili
 
acha kushikiwa akili
usipanic,
relax tu gentleman ..

na ikiwa huna hoja, mawazo mapya wala fikra mbadala dhidi ya hoja nzito iliyoko mezani una kaa kimya tu kufuatilia wenye hekima, Busara fikra pevu na wataalamu wa siasa za vyama vingi wanavyodadavua mambo haya kwa kina,

itakusaidia sana kuongeza ufahamu na uelewa wa kutosha juu ya mambo haya 🐒
 
Back
Top Bottom