Pre GE2025 Upinzani nchini hauna ngome wala uhakika wa kushinda hata kiti kimoja kwenye uchaguzi Serikali za Mitaa wala uchaguzi mkuu baadae mwaka ujao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni bayana,
Upinzani nchini mpaka sasa hawana ngome wala uhakika wa mahali au eneo la uchaguzi ambalo wanaweza kishinda hata kiti kimoja tu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu, na ule wa diwani au mbunge kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao...

Kwenye nafasi ya Urais upinzani ni wanyonge na wadhaifu mno, hakuna haja ya kueleza sana mambo ambayo ni wazi yanaonekana mchana kweupe...

Hata hivyo,
Inafurahisha sana kuona kwamba, wapinzani wote katika ujumla , umoja na migawanyiko yao, katika hili la uchaguzi mkuu ujao, kwenye nafasi ya Rais watamuunga mkono Dr. Samia Suluhu Hassan endapo ataridhia ombi lao na matarajio ya waTanzania walio wengi, kwamba aridhie kugombea urais tena Urais akamilishe ngwe ya pili ya uongozi wake, kwani Taifa katika ujumla, umoja na mshikamano wake, wananchi walio wengi zaidi wanaridhishwa na kasi yake ya maendeleo, mtindo wa uongzi wake mahiri na madhubuti, mipango mikakati yake makini na muhimu sana yenye maslahi mapana ya waTanzania wote..

Na kwa hali ya kisiasa ilivyo kwa sasa, hakuna hatari au kitisho kwa mtaa, kata au jimbo lolote la uchaguzi linaloweza kuangukia mikononi mwa upinzani dhaifu sana unaoiunga mkono serikali sikivu ya CCM...

Huu ni uzalendo wa kiwango cha juu sana kwa uhai na ustawi wa demokrasia nchini....

Unadhani,
Ni kwanini hali hii ya kutokuwa na uhakika wa ngome wala uhakika wa kushinda uchaguzi hata kiti kimoja, imewazonga sana wapinzani hasa wakati huu muhimu tunapoelekea kukamilika kwa maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu baadae mwakani?🐒

Uko sahihi, maana wahesabu kura hawajali masuala ya ngome.
 
Tume huru imeletetwa kimagumashi magumashi!
ina sahihishika na inarekebishika kadiri ya matakwa na mahitaji ya wanainchi kulingana na wakati unao faa,
tuvute subra na tuwe wastahimilivu kidogo tu baada ya uchaguzi mkuu mambo yatakaa sawa 🐒
 
ahaneni na kutegemea miujiza, ushirikina na uchawi kwenye uchaguzi ndrugu zango 🐒

elections is a very long process.and for sure it is very expensive exercise...

there is no way wengine wako field wanafanya engagements na consultations na wananchi,

then wew uibuke mwishoni ukiamini ushirikina wako eti ushinde uchaguzi, thubutu 🤣
Nape alimaliza kila kitu wala usiongee.
 
Ni bayana,
Upinzani nchini mpaka sasa hawana ngome wala uhakika wa mahali au eneo la uchaguzi ambalo wanaweza kishinda hata kiti kimoja tu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu, na ule wa diwani au mbunge kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao...

Kwenye nafasi ya Urais upinzani ni wanyonge na wadhaifu mno, hakuna haja ya kueleza sana mambo ambayo ni wazi yanaonekana mchana kweupe...

Hata hivyo,
Inafurahisha sana kuona kwamba, wapinzani wote katika ujumla , umoja na migawanyiko yao, katika hili la uchaguzi mkuu ujao, kwenye nafasi ya Rais watamuunga mkono Dr. Samia Suluhu Hassan endapo ataridhia ombi lao na matarajio ya waTanzania walio wengi, kwamba aridhie kugombea urais tena Urais akamilishe ngwe ya pili ya uongozi wake, kwani Taifa katika ujumla, umoja na mshikamano wake, wananchi walio wengi zaidi wanaridhishwa na kasi yake ya maendeleo, mtindo wa uongzi wake mahiri na madhubuti, mipango mikakati yake makini na muhimu sana yenye maslahi mapana ya waTanzania wote..

Na kwa hali ya kisiasa ilivyo kwa sasa, hakuna hatari au kitisho kwa mtaa, kata au jimbo lolote la uchaguzi linaloweza kuangukia mikononi mwa upinzani dhaifu sana unaoiunga mkono serikali sikivu ya CCM...

Huu ni uzalendo wa kiwango cha juu sana kwa uhai na ustawi wa demokrasia nchini....

Unadhani,
Ni kwanini hali hii ya kutokuwa na uhakika wa ngome wala uhakika wa kushinda uchaguzi hata kiti kimoja, imewazonga sana wapinzani hasa wakati huu muhimu tunapoelekea kukamilika kwa maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu baadae mwakani?🐒
Wawe na uhakika wa kushinda Kwa kipi walichofanya Cha maana Kwa Wananchi wao?
 
ina sahihishika na inarekebishika kadiri ya matakwa na mahitaji ya wanainchi kulingana na wakati unao faa,
tuvute subra na tuwe wastahimilivu kidogo tu baada ya uchaguzi mkuu mambo yatakaa sawa 🐒
Expect no better outcomes from the wrong side of the law
 
Back
Top Bottom