Pre GE2025 Upinzani nchini umekosa uelekeo kabisa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa Taarifa yako chawa ni CHADEMA pekee wanafanya mikutano kwa Sasa , akina Nchimbi hata hawajulikani wapo wapi?
 
Anayeropoka ni yule anaongea bila evidences kwenye bandiko lako uliongea mambo mengi yanayohitaji statistics mfno maandamano.
 
Kwa Taarifa yako chawa ni CHADEMA pekee wanafanya mikutano kwa Sasa , akina Nchimbi hata hawajulikani wapo wapi?
nimezungumzia upinzani katika ujumla wake, kama chadema wanafanya mikutano huenda wao wana fedha kiasi licha ya mwandamizi moja wa chadema kuweka wazi kwamba wana ukata ndani ya chama, halafu anashangaa kule kwenye uchaguzi wa ndani mipesa ya maana inatumika kushawishi wajumbe kuchagua wenye fedha
 
Anayeropoka ni yule anaongea bila evidences kwenye bandiko lako uliongea mambo mengi yanayohitaji statistics mfno maandamano.
statics gani sasa za maandamano unataka,
wakati ni obvious dhahiri shahiri hayana athari zozote politically speaking
 
That's your perception ndio imekupelekea utafsiri hivyo lakini on the ground mambo ni tofauti kabisa. Kaa na mwanaccm mwenzako umpe ujumbe huu uliouleta hapa Kama hajakuzaba kibao na kukutusi. Ccm vichwa vinauma sasa hivi na Wana paracetamol mfukoni halafu wewe unaleta propaganda za kisoviet hapa!
Usisahau, ukweli haufichiki ni Kama Nuru katikati ya Giza. Endelea kujizima data ilihali wakati haupo upande wako!
 
statics gani sasa za maandamano unataka,
wakati ni obvious dhahiri shahiri hayana athari zozote politically speaking
Be a critical thinker Kama una jeuri hiyo ili ujiongoze kufikiri vyema. Duniani kila jambo lina athari zake huenda positive or negative, unalijua Hilo? Usiidanganye nafsi yako dogo utakuja kusutwa! Huyajui maandamano wewe.
 
maskini dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…