Uchaguzi 2020 Upinzani Tanzania wafananishwa na George Floyd!

Uchaguzi 2020 Upinzani Tanzania wafananishwa na George Floyd!

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
6,710
Reaction score
9,063
Kibano ambacho vyama vya Upinzani Tanzania vinapitia tangu Rais Magufuli aingie Madarakani 2015 ni sawa na kibano cha Polisi wa Marekani kwa George Floyd (RIP).

Tunaingia Uchaguzi Mkuu wa 2020 bado Wapinzani hawana RUKSA ya kufanya mikutano iwe ni ya ndani au ya nje. Hakuna kuandamana wala hakuna Uhuru wa kuongea iwe ni ndani au nje ya Bunge. Poor opposition parties, they can't breath!
2431549_09886.jpg
 
Sera ya CCM ilikuwa kuwamaliza upinzani Wala sio kukuza uchumi au kuendeleza uchumi sijui mnaelewaaaa..
 
Kuna mgombea mmoja ameshasema asikosolewe na atakae mkosoa chamoto atakiona.

Huku siyo kukosoa ni maoni!
After all aliowaambia wasitumie lugha za kuudhi au matusi ni Wanasiasa. Hapa ni Great Thinkers tu hakuna Wanasiasa!
 
knee-on-neck.jpeg

Please get your knees off our necks, we can't breathe!

 
Back
Top Bottom