Upinzani Tanzania waungana na Wakenya kudai haki ya Mganda Bobi Wine

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Juzi baadhi ya Wakenya waliandamana ili kushinikiza kuachiliwa huru kwa kiongozi wa upinzani Uganda anayepitia mateso makali. Humu jukwani wana CCM waliingia na kutukana na kulaani Wakenya balaa.
Sasa upinzani wa Tanzania wakiongozwa na mheshimiwa Zitto Kabwe wamemuandikia rais Museveni barua ya kumuomba amuachie huru huyo mbunge. Najua muda usio mrefu wafuasi wa CCM hawatachelewa kuja kutukana tena. Lakini Afrika mashariki imeanza kuwa kijiji kimoja.
-------------------------------------------------

Dar es Salaam/Arusha. Calls are mounting in East Africa for the release of Ugandan legislator and musician Robert Kyagulanyi, a.k.a Bobi Wine who is being held following a fracas that rocked a by-election campaign in Arua Town, North-West of the country’s capital Kampala.

In an open letter addressed to Ugandan President Yoweri Museveni, ACT Wazalendo party leader Zitto Kabwe said that a better Uganda cannot be achieved when there are violations of human rights and laws in that East African country.
“East Africans tremble when injustices are done in any part of the region and you as the leader must show the way in respecting fundamental rights of your own citizens,’’ he told Mr Museveni.
Mr Kabwe said his party has been following up the current political situation in Uganda and was alarmed by the rate at which the political space had deteriorated.
Calls mount in East Africa for release of Uganda’s Bobi Wine
 
Hivi ameungana na wakenya au aneungana waganda. Wakenya mnapeda kudandia mambo, tayari mitandaoni wakenya wanasena eti wao ndio wakombizi wa waganda. Kuweni na aibu kidogo ni waganda wenyewe ndio wanaongoza hii vita sio wakenya.
 
Museveni lazima ang'atuliwe kutoka mamlakani hata kwa ncha ya upanga. Huyo jinamizi lazima apigwe kama mbwa na atoke mamlakani baada ya miaka thelathini. Yeye ni dikteta mbaya kushinda Iddi Amina. Marekani na Britain wametulet down. Wangekuwa wamefululiza sanctions kwa serikali ya kaburu huyu hadi serikali ianguke ili Waganda wapumue.
 
Mtapata tabu sana wana Lumumba, ndio EAC mpya hii....
 
Museveni lazima ang'atuliwe kutoka mamlakani hata kwa ncha ya upanga. Huyo jinamizi lazima apigwe kama mbwa na atoke mamlakani baada ya miaka thelathini. Yeye ni dikteta mbaya kushinda Iddi Amina. Marekani na Britain wametulet down. Wangekuwa wamefululiza sanctions kwa serikali ya kaburu huyu hadi serikali ianguke ili Waganda wapumue.

Kumtoa pale sio rahisi, unajua kwanza kawekwa na Watanzania walipokua 'wanapigania uhuru wa nchi za Afrika'. Hawa hawa Watanzania wamemkingia kifua yule dikteta wa Burundi jina lake NkruziSomething
 
Tena ni jeuri sana, aliulizwa jumuiya ya Ulaya inahoji demokrasia ya Uganda ilihli rais ni mmoja kwa zaidi ya miaka 30.
Alijibu wazungu wasuluhishe matatizo yao, Afrika matatizo yetu tunayamaliza ki Afrika
 
Kumbe ni hawa wanaojiita wanademokrasia ndio wanaowatetea hawa makaburu. Tunastahili kuanza na hawa Watanzania wapigwe viboko hadi washike adabu. Lakini on a serious note, Everything should be done to remove Museveni from power. U.S.A ndio superpower hii dunia na wao pia ndio hujiita "policeman of the world". Wao ndio kazi yao kupambana na madikteta kama Kim Jong Un, Maduro wa Venezuela, Putin wa Russia, Ule dikteta wa Iran, Assad wa Syria na kadhalika. Ni bahati mbaya sana kwamba Marekani na hususan Donald Trump hana shughuli na Afrika. Anadharau Afrika sana, ndio maana anamuangalia Museveni tu bila kutuma Jeshi la Marekani kupindua serikali kama walivyofanya kwengine. Kwa kawaida huwa siungi mkono upinduzi wa serikali, lakini kwa huyu jinamizi aliyekatalia mamlakani kama kupe, lazima ang'olewe kama vile madikteta wengi waling'olewa duniani kote
 
Hilo ni kweli kabisa. Mbaya zaidi ni kwamba anajua Waganda hawataki machafuko kwani walipigana na kuuana sana miaka ya themanini na kwa sasa hawataki vita. Bila msaada kutoka nje, sana sana kutoka Marekani polisi wa dunia, Uganda itabakia vile vile
 
Alikuwa Usalama wa Taifa yule, sasa ameidhibiti hiyo idara. Rafiki yangu ananiambia hata ukiwa chumbani unamuongelea Museveni kesho ana habari.

Wale waganda waliopata ukimbizi Ulaya na Marekani wakimuongelea tu kwenye barbecue zao huko. Wakirudi nyumbani wanadakwa Airport.
 
Hilo ni kweli kabisa. Mbaya zaidi ni kwamba anajua Waganda hawataki machafuko kwani walipigana na kuuana sana miaka ya themanini na kwa sasa hawataki vita. Bila msaada kutoka nje, sana sana kutoka Marekani polisi wa dunia, Uganda itabakia vile vile
Ingekua vizuri ukaenda Uganda Kuungana nao kama uko very concerned sio kuwachochea wenzako. Wakenya hawampendi m7 kwasababu ya Migingo island, kawapokonya hivihivi mnajiona. Kama mnapinga human rights violation mngeanza na Uhuru plus Jubilee kwa kuua mamia ya watu kila uchaguzi particularly Jaluo, kubomoa Majengo ya watu bila kibali maalum, Rushwa na ufisadi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena ni jeuri sana, aliulizwa jumuiya ya Ulaya inahoji demokrasia ya Uganda ilihli rais ni mmoja kwa zaidi ya miaka 30.
Alijibu wazungu wasuluhishe matatizo yao, Afrika matatizo yetu tunayamaliza ki Afrika

Alitoa jibu zuri SANA.
Afrikan problems solved by Afrikan solutions
Europan problems solved by Europan solutions
NOT otherwise.
 
Hilo ni kweli kabisa. Mbaya zaidi ni kwamba anajua Waganda hawataki machafuko kwani walipigana na kuuana sana miaka ya themanini na kwa sasa hawataki vita. Bila msaada kutoka nje, sana sana kutoka Marekani polisi wa dunia, Uganda itabakia vile vile

Kwa AKILI kama HII ya huyu BWANA (kutegemea mzungu akuambie nini cha kufanya ama akusaidie cha kufanya) Afrika ina hatua ndefu kujikomboa TOKA kwa mabeberu.
 
We need a lot more Bobi Wines in Africa...I hope he is tried in a Civilian court and gets a chance to explain himself..A martial court could mean a life sentence plus torture...As a parent of young adults I feel for his parents...All the support he needs is for the greater good of Africa...
 
Kumbe ni hawa wanaojiita wanademokrasia ndio wanaowatetea hawa makaburu. Tunastahili kuanza na hawa Watanzania wapigwe viboko hadi washike adabu. Lakini on a serious note, Everything should be done to remove Museveni from power. U.S.A ndio superpower hii dunia na wao pia ndio hujiita "policeman of the world". Wao ndio kazi yao kupambana na madikteta kama Kim Jong Un, Maduro wa Venezuela, Putin wa Russia, Ule dikteta wa Iran, Assad wa Syria na kadhalika. Ni bahati mbaya sana kwamba Marekani na hususan Donald Trump hana shughuli na Afrika. Anadharau Afrika sana, ndio maana anamuangalia Museveni tu bila kutuma Jeshi la Marekani kupindua serikali kama walivyofanya kwengine. Kwa kawaida huwa siungi mkono upinduzi wa serikali, lakini kwa huyu jinamizi aliyekatalia mamlakani kama kupe, lazima ang'olewe kama vile madikteta wengi waling'olewa duniani kote
Unaongea utafikiri unatangaza redio ya west, haya ndio mnadanganywa na nchi za West na musema rais fulani ni dictator. Mkimuondoa Museveni shida zenu Kenya zitabaki pale pale.
 
Back
Top Bottom