Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
puumbaf zao kabisaogopa maraisi wanaopenda kuvaa mikofia ya dizaini ile wote ukiwachunguza wana mikono ya chuma
Usipanick haya yakiisha atakayefata ni Jiwe. Visirani vyote tunataka vituondokee, hapa jumuiya ya Afrika mashariki. Teh teh! [emoji1][emoji1][emoji1]Unaongea utafikiri unatangaza redio ya west, haya ndio mnadanganywa na nchi za West na musema rais fulani ni dictator. Mkimuondoa Museveni shida zenu Kenya zitabaki pale pale.
Msitujaribu, wenzenu tunauwezo wa kuhamisha river better than Ferdinand Waititu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usipanick haya yakiisha atakayefata ni Jiwe. Visirani vyote tunataka vituondokee, hapa jumuiya ya Afrika mashariki. Teh teh! [emoji1][emoji1][emoji1]
Haha, hapo hapo unasahau katika ukanda huu ni Tanzania tu ndio inafanya biashara ya maana na Kenya. Tanzania tukizima kibatari ndio mwisho wa biashara ya kikanda kwa Kenya.Bila Kenya hamna EAC maana nusu ya GDP ya muungano wote huu ni sisi.
😂😂😂😂Mtapata tabu sana wana Lumumba, ndio EAC mpya hii....
Povu la nini jombaaa????Hivi ameungana na wakenya au aneungana waganda. Wakenya mnapeda kudandia mambo, tayari mitandaoni wakenya wanasena eti wao ndio wakombizi wa waganda. Kuweni na aibu kidogo ni waganda wenyewe ndio wanaongoza hii vita sio wakenya.
Nalendwa whose side are you on here? Don't tell me you think Ssebo M7 should chuck out another rap. [emoji]
Naona unaichukulia positively. Kweli sauti mnapaza kabisa. [emoji1] Very sad for Bobi Wine. I think his treatment should be condemned without interfering in any way with the sovereignity of the Ugandan people.Hahah!, you know my attitude towards the politics of Ukanda huu.
(At least na sisi tumeanza kupaza sauti mpaka nje ya Nchi) 😀
Hope it last.
This story is sad tho.
Naona unaichukulia positively. Kweli sauti mnapaza kabisa. [emoji1] Very sad for Bobi Wine. I think his treatment should be condemned without interfering in any way with the sovereignity of the Ugandan people.
Sikuwahi kuwaza hili, lakini nakubali uko sahihi sana. Makofia yale yanaficha sura ovu, katili, uaji!ogopa maraisi wanaopenda kuvaa mikofia ya dizaini ile wote ukiwachunguza wana mikono ya chuma
Very true. M7 is doing worse than his Mentor Uncle Bob. Something is very wrong with Africans in power.True..
I know right!, got to be positive...🙂
Very true. M7 is doing worse than his Mentor Uncle Bob. Something is very wrong with Africans in power.
Sio kweli Kakaogopa maraisi wanaopenda kuvaa mikofia ya dizaini ile wote ukiwachunguza wana mikono ya chuma
Very true. I don't understand though why Bobi Wine has to be tried in a martial court. Whats up with that?This's truei. He seems to be Woorse!
You can say that again about Africans in Power Jirani..
It's always same sh!t, but on different times..