Upinzani umekosa hoja na muelekeo, badala kujadili hoja zenye mashiko ili mkubalike mnabaki kujadili takwimu zilizokosewa bahati mbaya

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Mnashindwa vipi kukaa na kujadili masuala ya msingi kama kuboresha huduma afya, elimu na upatikanaji wa umeme?

Mnabakia kila kona kushupalia juu ya takwimu za foreign reseve ambazo zimekosewa bahati mbaya. Kwani hamjui kuwa mil 6000 ni sawa na bil 6.

Tumieni busara kujadili masuala ya msingi ili wananchi wa kawaida wawaelewe.
 
Mkuu Idugunde , naunga mkono hoja, upinzani Tanzania ni kama hakuna kitu!
P.
 
Mnashindwa vipi kukaa na kujadili masuala ya msingi kama kuboresha huduma afya, elimu na upatikanaji wa umeme?

Mnabakia kila kona kushupalia juu ya takwimu za foreign reseve ambazo zimekosewa bahati mbaya. Kwani hamjui kuwa mil 6000 ni sawa na bil 6.

Tumieni busara kujadili masuala ya msingi ili wananchi wa kawaida wawaelewe.
Kwani we hujamsikia tundu lisu na hotuba ile ya kutoa direction na sera kede kede. Au umekalilishwa tu. Nina wasiwasi huelewi hata maana ya sera
 
Iyo takwimu kukosewa umesema wewe na sio wahusika.

Anayechukua kodi tu kashindwa boresha elimu, afya, miundombinu kaishia kukosea takwimu (hajui hata taarifa za nchi anayo ongoza)

Alafu wewe walaumu anaye mwambia umekosea takwimu
We binafsi umeona kuna tatizo? Hujui kuwa mil 6000 ni bil 6?
 
Mmesikia Lissu na GLema banakuya mmeanza kuweweseka EU Mhimili wa Dunia...
 
Mnashindwa vipi kukaa na kujadili masuala ya msingi kama kuboresha huduma afya, elimu na upatikanaji wa umeme?

Mnabakia kila kona kushupalia juu ya takwimu za foreign reseve ambazo zimekosewa bahati mbaya. Kwani hamjui kuwa mil 6000 ni sawa na bil 6.

Tumieni busara kujadili masuala ya msingi ili wananchi wa kawaida wawaelewe.
Mkuu Idugunde , naunga mkono hoja. Kiukweli Tanzania, ni kama hatuna. upinzani kabisa, kwasababu hatuna upinzani makini.
P.
 
Mnashindwa vipi kukaa na kujadili masuala ya msingi kama kuboresha huduma afya, elimu na upatikanaji wa umeme?

Mnabakia kila kona kushupalia juu ya takwimu za foreign reseve ambazo zimekosewa bahati mbaya. Kwani hamjui kuwa mil 6000 ni sawa na bil 6.

Tumieni busara kujadili masuala ya msingi ili wananchi wa kawaida wawaelewe.
Una uhakika wanaokosoa ni upinzani?
Ni kwa nini huwa hampendi kukosolewa?
 
Mnashindwa vipi kukaa na kujadili masuala ya msingi kama kuboresha huduma afya, elimu na upatikanaji wa umeme?

Mnabakia kila kona kushupalia juu ya takwimu za foreign reseve ambazo zimekosewa bahati mbaya. Kwani hamjui kuwa mil 6000 ni sawa na bil 6.

Tumieni busara kujadili masuala ya msingi ili wananchi wa kawaida wawaelewe.
Wapinzani wakikosea wamekosea, serikali ikikosea imekosea kwa bahati mbaya! Na anayesema imekosea kwa bahati mbaya naye ni bahati mbaya hahusiki na serikali, ni kahuni tu ka mtaani.
 
Labda ndio zitawaingiza Ikulu,bure kabisa hao machadema
 
Mnashindwa vipi kukaa na kujadili masuala ya msingi kama kuboresha huduma afya, elimu na upatikanaji wa umeme?

Mnabakia kila kona kushupalia juu ya takwimu za foreign reseve ambazo zimekosewa bahati mbaya. Kwani hamjui kuwa mil 6000 ni sawa na bil 6.

Tumieni busara kujadili masuala ya msingi ili wananchi wa kawaida wawaelewe.
Kumbe upinzani haukubaliki Tz. Hili nilikuwa silijui.
 
Wapinzani wakikosea wamekosea, serikali ikikosea imekosea kwa bahati mbaya! Na anayesema imekosea kwa bahati mbaya naye ni bahati mbaya hahusiki na serikali, ni kahuni tu ka mtaani.
Wewe raia wa Malawi masuala ya Tanzania yanakuhusu?
 
Mnashindwa vipi kukaa na kujadili masuala ya msingi kama kuboresha huduma afya, elimu na upatikanaji wa umeme?

Mnabakia kila kona kushupalia juu ya takwimu za foreign reseve ambazo zimekosewa bahati mbaya. Kwani hamjui kuwa mil 6000 ni sawa na bil 6.

Tumieni busara kujadili masuala ya msingi ili wananchi wa kawaida wawaelewe.
We fala, watu hawajadili takwimu wanajadili "umakini" wa Rais na wasaidizi wake

Kama unadhani "umakini" wa Rais ni jambo dogo basi hilo jina nililokuita mwanzo linakufaa sana!
 
Mkuu Idugunde , naunga mkono hoja. Kiukweli Tanzania, hatuna. upinzani makini.
P.
Msilaumu tu bali fikirieni jinsi ya luwasadia wawe makini. Na wale wasiotaka hata wakutane, wanaopora fomu, wanaowaengua kwenye chaguzi, wanawakamata na kuwafungulia kesi lukuki...
Pia jua kuwa kukosea takwimu kimaandishi ni kukosa umakini.
Ukizoea utasaini hata mikataba ambayo inaweza ilete shida baadae.
Tuisaidie nchi, tumsaidie rais, tusaidie ipinzani ili wote wafanye kazi zao.
 
Mnashindwa vipi kukaa na kujadili masuala ya msingi kama kuboresha huduma afya, elimu na upatikanaji wa umeme?

Mnabakia kila kona kushupalia juu ya takwimu za foreign reseve ambazo zimekosewa bahati mbaya. Kwani hamjui kuwa mil 6000 ni sawa na bil 6.

Tumieni busara kujadili masuala ya msingi ili wananchi wa kawaida wawaelewe.
Kwani bado manasaka teuzi? Hotuba serious kama ile haiswi kuwa na makosa yakizembe kama vile? Na kama kulikuwa na makosa basi hadi leo hii kungeshatolewa ufafanuzi na marekebisho ili wananchi wajue takwimu halisi kukaa kimya means hakuna makosa pale na wananchi wanachulia wamedanganywa
 
Back
Top Bottom