Upinzani umekosa hoja na muelekeo, badala kujadili hoja zenye mashiko ili mkubalike mnabaki kujadili takwimu zilizokosewa bahati mbaya

Upinzani umekosa hoja na muelekeo, badala kujadili hoja zenye mashiko ili mkubalike mnabaki kujadili takwimu zilizokosewa bahati mbaya

Kwani bado manasaka teuzi? Hotuba serious kama ile haiswi kuwa na makosa yakizembe kama vile? Na kama kulikuwa na makosa basi hadi leo hii kungeshatolewa ufafanuzi na marekebisho ili wananchi wajue takwimu halisi kukaa kimya means hakuna makosa pale na wananchi wanachulia wamedanganywa
Una uhakika hotuba ilikuwa na makosa?
 
Mnashindwa vipi kukaa na kujadili masuala ya msingi kama kuboresha huduma afya, elimu na upatikanaji wa umeme?

Mnabakia kila kona kushupalia juu ya takwimu za foreign reseve ambazo zimekosewa bahati mbaya. Kwani hamjui kuwa mil 6000 ni sawa na bil 6.

Tumieni busara kujadili masuala ya msingi ili wananchi wa kawaida wawaelewe.
jitaidi nawe kuelewa basi
 
We binafsi umeona kuna tatizo? Hujui kuwa mil 6000 ni bil 6?
Amesema milioni 6000 au bilioni 6000 ambazo ni trilioni 6? Watu wanataka ufafanuzi kama tuna dola trilioni 6 kwa nini tunakopa wewe unaleta ngonjera? Hotuba inaandaliwa na kupitia kwa watu zaidi ya 4 halafu inakuja na matundu bado anajitokeza mbumbumbu anataka kuziba watu midomo? Waanzaaji Wanalipwa kufanya makosa?
 
Tanzania ni kama hakun upinzan wa kweli tangu Dr Slaa ahame huko, upinzani siku hiz wanadeal na kandama taasisi ya urais.

Kipindi Dr Magufuli kabla hajawa rais walikuwa wakimsifia sana kuwa ni waziri mchapa kazi na hata alipokuwa akiwasilisha bajeti ya wizar yake walikuwa wakimpigia makofi kila mara, alianza kuwa mbaya kwao pale tu alipoukwaa urais na kuaanza kutatua kero zilizowasumbua rai kwa muda mrefu na kutenda mambo ambayo kwa macho ya kawaida yalionekana hayawezekani kwa wakati huu.

Nchi yetu inamambo mengi ambayo tulitegemea upinzani uyaaddres kwa sasa, lakini wao wanadili na vitu ambavyo sio vipaumbele kwa wananchi kwa sasa. Naamini kama upinzani ukiendelea na tabia hii ya sasa kuna uwezakano wananchi wakatafuta chama mbadala ambacho kitaweza kuichallenge ccm kwa hoja na sio hivi vilivyopo sasa ambavyo leo wanaamini hivi kesho wanaamini vile yaani wanabadilika kutokan na Rais aliyopo madarakani ukiwauliza wanachoamini wao watakuambia katiba mpya ndio kila kitu.
 
Unasema bahati mbaya, seriously? watu wanaandika document ya page 300 hakuna hata herufi iliyokosewa, uje kukosea hotuba yenye page mbili....
 
Mkuu Idugunde , naunga mkono hoja. Kiukweli Tanzania, ni kama hatuna. upinzani kabisa, kwasababu hatuna upinzani makini.
P.
Wewe siku hizi huna tofauti na debe la maganda ya Karanga. Yaani unaona issue ya Rais kuja na hotuba yenye takwimu feki ni issue ndogo? Wewe hujarogwa ila tulikuwa hatujui rangi yako sasa ndo unatuonesha uwezo wako hali baada ya kurudisha uwezo ulioazima kwa wenyewe. Yaani panapotakiwa 4 Rais akiweka 8 sawa tu, asipoweka kitu sawa tu. Kama ni makosa ya kiuandishi mbona hajatoka mwandishi kutoa Masahihisho?
Juzi usiku watu walilalamikia Ikulu kutoa hotuba ya maneno pekee bila maandishi, wakachomoza haraka na maandishi yenye bilioni elfu 6 bado huoni ni shida unasema nchi haina upinzani? Kumbe unajifanya mwanasiasa wakati hata kazi ya siasa huijui? Rais kaja na dola bilioni elfu 6 wenye akili wanasema hizo hatuna wewe unasema zipo msishupalie hesabu iliyokosewa!!? Umekwisha braza yaani umeporomoka hadi chini kabisa kimantiki.
 
Tanzania ni kama hakun upinzan wa kweli tangu Dr Slaa ahame huko, upinzani siku hiz wanadeal na kandama taasisi ya urais.

Kipindi Dr Magufuli kabla hajawa rais walikuwa wakimsifia sana kuwa ni waziri mchapa kazi na hata alipokuwa akiwasilisha bajeti ya wizar yake walikuwa wakimpigia makofi kila mara, alianza kuwa mbaya kwao pale tu alipoukwaa urais na kuaanza kutatua kero zilizowasumbua rai kwa muda mrefu na kutenda mambo ambayo kwa macho ya kawaida yalionekana hayawezekani kwa wakati huu.

Nchi yetu inamambo mengi ambayo tulitegemea upinzani uyaaddres kwa sasa, lakini wao wanadili na vitu ambavyo sio vipaumbele kwa wananchi kwa sasa. Naamini kama upinzani ukiendelea na tabia hii ya sasa kuna uwezakano wananchi wakatafuta chama mbadala ambacho kitaweza kuichallenge ccm kwa hoja na sio hivi vilivyopo sasa ambavyo leo wanaamini hivi kesho wanaamini vile yaani wanabadilika kutokan na Rais aliyopo madarakani ukiwauliza wanachoamini wao watakuambia katiba mpya ndio kila kitu.
Na wewe ondoa mawazo mgando hapa. Mawazo ya mtu hayatakiwa kuamini kilekile hata kama kimebadilika. Yaani Leo hujaoa naamini hujaoa, kesho ukioa niendelee kuamini hujaoa? Magufuli alisifiwa alipokuwa waziri alifanya vizuri kwenye miundombinu japo nako alichakachua upana wa barabara, kaja kuwa Rais kapiga risasi na kukamata kila anayemkosoa. Bado ulitaka watu wamwone mzuri tu kwa tabia za kidikiteta kama hizo? Hata alipokuwa waziri akalazimisha kuvunja jengo la TANESCO wapinzani walimpinga.
 
Mkuu Idugunde , naunga mkono hoja, upinzani Tanzania ni kama hakuna kitu!
P.

Kwani upinzani si uliuliwa na komredi Polepole ?😆
images (84).jpeg
2 (5).jpg
images (83).jpeg
images (82).jpeg
images (43).jpeg
 
Waungwana huwa wanaomba radhi kwa kosa na kulirekebisha.
Msemaji mkuu wa Ikulu bado hajafanya hibyo!
Wahuni wanapo ingia ikulu kazi wanazo fanya ni tatu 1 kula bata 2 ufisadi 3 kudinyanya hivyo huyo msemsji mtafute kwenye hizo kazi tatu utamkuta mstari wa mbale
 
Na wewe ondoa mawazo mgando hapa. Mawazo ya mtu hayatakiwa kuamini kilekile hata kama kimebadilika. Yaani Leo hujaoa naamini hujaoa, kesho ukioa niendelee kuamini hujaoa? Magufuli alisifiwa alipokuwa waziri alifanya vizuri kwenye miundombinu japo nako alichakachua upana wa barabara, kaja kuwa Rais kapiga risasi na kukamata kila anayemkosoa. Bado ulitaka watu wamwone mzuri tu kwa tabia za kidikiteta kama hizo? Hata alipokuwa waziri akalazimisha kuvunja jengo la TANESCO wapinzani walimpinga.
Kwa tabia yenu ya kudeal na kila Rais anayetok ccm kutoboa kwenu kutakuwa ni vigumu maana kila baada ya miaka kumi ccm wanabalisha Rais na nyie mnabadilika tena hivyo wananchi hawezi kuwaelewa nini hasa mnachopigania, are fighting against ccm or taasis ya urais.
 
Zingine ni planned mistakes.

Give them what they want, then they will shift their focus to it.

win win 🤔 No.....

🌍
🇹🇿
✌🏼
 
Kwa tabia yenu ya kudeal na kila Rais anayetok ccm kutoboa kwenu kutakuwa ni vigumu maana kila baada ya miaka kumi ccm wanabalisha Rais na nyie mnabadilika tena hivyo wananchi hawezi kuwaelewa nini hasa mnachopigania, are fighting against ccm or taasis ya urais.
Tunadeal na vyote vilivyo kinyume na haki za Watanzania. Si kila upumbavu wa Rais anatumwa na CCM mengine ni maovu yake binafsi kwa hiyo titapambana naye yeye kama yeye. Unataka Rais aumize watu sisi tupambane na wanachama wa CCM mitaani?
 
Back
Top Bottom