Kwani we hujamsikia tundu lisu na hotuba ile ya kutoa direction na sera kede kede. Au umekalilishwa tu. Nina wasiwasi huelewi hata maana ya seraMnashindwa vipi kukaa na kujadili masuala ya msingi kama kuboresha huduma afya, elimu na upatikanaji wa umeme?
Mnabakia kila kona kushupalia juu ya takwimu za foreign reseve ambazo zimekosewa bahati mbaya. Kwani hamjui kuwa mil 6000 ni sawa na bil 6.
Tumieni busara kujadili masuala ya msingi ili wananchi wa kawaida wawaelewe.
We binafsi umeona kuna tatizo? Hujui kuwa mil 6000 ni bil 6?Iyo takwimu kukosewa umesema wewe na sio wahusika.
Anayechukua kodi tu kashindwa boresha elimu, afya, miundombinu kaishia kukosea takwimu (hajui hata taarifa za nchi anayo ongoza)
Alafu wewe walaumu anaye mwambia umekosea takwimu
Iyo mil. 6000 unasema wewe mama kasema bill. 6000 ko unamlisha manenoWe binafsi umeona kuna tatizo? Hujui kuwa mil 6000 ni bil 6?
Mkuu Idugunde , naunga mkono hoja. Kiukweli Tanzania, ni kama hatuna. upinzani kabisa, kwasababu hatuna upinzani makini.Mnashindwa vipi kukaa na kujadili masuala ya msingi kama kuboresha huduma afya, elimu na upatikanaji wa umeme?
Mnabakia kila kona kushupalia juu ya takwimu za foreign reseve ambazo zimekosewa bahati mbaya. Kwani hamjui kuwa mil 6000 ni sawa na bil 6.
Tumieni busara kujadili masuala ya msingi ili wananchi wa kawaida wawaelewe.
Una uhakika wanaokosoa ni upinzani?Mnashindwa vipi kukaa na kujadili masuala ya msingi kama kuboresha huduma afya, elimu na upatikanaji wa umeme?
Mnabakia kila kona kushupalia juu ya takwimu za foreign reseve ambazo zimekosewa bahati mbaya. Kwani hamjui kuwa mil 6000 ni sawa na bil 6.
Tumieni busara kujadili masuala ya msingi ili wananchi wa kawaida wawaelewe.
Wapinzani wakikosea wamekosea, serikali ikikosea imekosea kwa bahati mbaya! Na anayesema imekosea kwa bahati mbaya naye ni bahati mbaya hahusiki na serikali, ni kahuni tu ka mtaani.Mnashindwa vipi kukaa na kujadili masuala ya msingi kama kuboresha huduma afya, elimu na upatikanaji wa umeme?
Mnabakia kila kona kushupalia juu ya takwimu za foreign reseve ambazo zimekosewa bahati mbaya. Kwani hamjui kuwa mil 6000 ni sawa na bil 6.
Tumieni busara kujadili masuala ya msingi ili wananchi wa kawaida wawaelewe.
Labda ndio zitawaingiza Ikulu,bure kabisa hao machademaMnashindwa vipi kukaa na kujadili masuala ya msingi kama kuboresha huduma afya, elimu na upatikanaji wa umeme?
Mnabakia kila kona kushupalia juu ya takwimu za foreign reseve ambazo zimekosewa bahati mbaya. Kwani hamjui kuwa mil 6000 ni sawa na bil 6.
Tumieni busara kujadili masuala ya msingi ili wananchi wa kawaida wawaelewe.
Kumbe upinzani haukubaliki Tz. Hili nilikuwa silijui.Mnashindwa vipi kukaa na kujadili masuala ya msingi kama kuboresha huduma afya, elimu na upatikanaji wa umeme?
Mnabakia kila kona kushupalia juu ya takwimu za foreign reseve ambazo zimekosewa bahati mbaya. Kwani hamjui kuwa mil 6000 ni sawa na bil 6.
Tumieni busara kujadili masuala ya msingi ili wananchi wa kawaida wawaelewe.
Wewe raia wa Malawi masuala ya Tanzania yanakuhusu?Wapinzani wakikosea wamekosea, serikali ikikosea imekosea kwa bahati mbaya! Na anayesema imekosea kwa bahati mbaya naye ni bahati mbaya hahusiki na serikali, ni kahuni tu ka mtaani.
We fala, watu hawajadili takwimu wanajadili "umakini" wa Rais na wasaidizi wakeMnashindwa vipi kukaa na kujadili masuala ya msingi kama kuboresha huduma afya, elimu na upatikanaji wa umeme?
Mnabakia kila kona kushupalia juu ya takwimu za foreign reseve ambazo zimekosewa bahati mbaya. Kwani hamjui kuwa mil 6000 ni sawa na bil 6.
Tumieni busara kujadili masuala ya msingi ili wananchi wa kawaida wawaelewe.
Msilaumu tu bali fikirieni jinsi ya luwasadia wawe makini. Na wale wasiotaka hata wakutane, wanaopora fomu, wanaowaengua kwenye chaguzi, wanawakamata na kuwafungulia kesi lukuki...Mkuu Idugunde , naunga mkono hoja. Kiukweli Tanzania, hatuna. upinzani makini.
P.Japo kazi ya upinzani ni kupinga, lakini sio kupinga kila kitu. Kwenye maslahi ya taifa, tutangulize utaifa, tuwe wamoja, wakweli na tusipotoshe
Wanabodi, Huu ni muswada wa makala ya gazeti. Nimepata fursa kuendeleza zile makala zangu za "Kwa Maslahi Ya Taifa", ambazo ni makala elimishi katika nyanja za kisiasa, kiuchumi na kijamii kwa lengo la kulisaidia taifa letu lisonge mbele. Makala ya leo inazungumzia kazi ya vyama vya upinzani...www.jamiiforums.com
Kwani bado manasaka teuzi? Hotuba serious kama ile haiswi kuwa na makosa yakizembe kama vile? Na kama kulikuwa na makosa basi hadi leo hii kungeshatolewa ufafanuzi na marekebisho ili wananchi wajue takwimu halisi kukaa kimya means hakuna makosa pale na wananchi wanachulia wamedanganywaMnashindwa vipi kukaa na kujadili masuala ya msingi kama kuboresha huduma afya, elimu na upatikanaji wa umeme?