Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Labda unazungumzia Upinzani wa Lipuli na Ihefu. Jaribu kuwa serious kidogo basi...Ukishaona serikali inakwambia eti kosoa kwa staha basi upinzani kwishney. Kukosoa siku siku zote hakuwezi kuw kwa staha huo siyo ukosoaji. Ukosoaji lazim uwe madhubuti na strong.
I so loved Chadema and Mbowe, ila naamini Mbowe kavua vazi la Mapambano, labda kawekeza kwenye uhuru wale.Ukishaona serikali inakwambia eti kosoa kwa staha basi upinzani kwishney. Kukosoa siku siku zote hakuwezi kuw kwa staha huo siyo ukosoaji. Ukosoaji lazim uwe madhubuti na strong.
Mbona hukumsaidia mbowe alivyowekwa Jera ungekaa na wewe week 1 tu! Mwache akatafute maisha yakeUkishaona serikali inakwambia eti kosoa kwa staha basi upinzani kwishney. Kukosoa siku siku zote hakuwezi kuw kwa staha huo siyo ukosoaji. Ukosoaji lazim uwe madhubuti na strong.
You might be right, but not absolute! Ukikosoa kwa kutukana unamwambia unayemkosoa ku+&%#m&*%^%# sasa hio ndiyo kukosoa? Unakosoa kwa facts and evidence. Hapo kuwa strong na usiyumbe!Ukishaona serikali inakwambia eti kosoa kwa staha basi upinzani kwishney. Kukosoa siku siku zote hakuwezi kuw kwa staha huo siyo ukosoaji. Ukosoaji lazim uwe madhubuti na strong.
Fanya wewe Sasa ili tukuoneUkishaona serikali inakwambia eti kosoa kwa staha basi upinzani kwishney. Kukosoa siku siku zote hakuwezi kuw kwa staha huo siyo ukosoaji. Ukosoaji lazim uwe madhubuti na strong.
Msitegemee Tena madai yakatiba mpya maana huko Ni kukosoa na kuleta vurugu ambapo serikali imesema kosoa kwa staha
Umoja ni nguvuUkishaona serikali inakwambia eti kosoa kwa staha basi upinzani kwishney. Kukosoa siku siku zote hakuwezi kuw kwa staha huo siyo ukosoaji. Ukosoaji lazim uwe madhubuti na strong.
Msitegemee Tena madai yakatiba mpya maana huko Ni kukosoa na kuleta vurugu ambapo serikali imesema kosoa kwa staha
Kosa kubwa la CCM ni kumruhusu mwendazake kufanya siasa za visasi, mauaji, kuteka, kutesa na kudhalilisha..hizi siasa zilitumika duniani karne ya 17 ama kabla.Ukishaona serikali inakwambia eti kosoa kwa staha basi upinzani kwishney. Kukosoa siku siku zote hakuwezi kuw kwa staha huo siyo ukosoaji. Ukosoaji lazim uwe madhubuti na strong.
Msitegemee Tena madai yakatiba mpya maana huko Ni kukosoa na kuleta vurugu ambapo serikali imesema kosoa kwa staha
Kuna watu ujinga NI kipaji Chao ! Kianzishwe chuo cha kuendelea vipaji vya ujinga !Ukishaona serikali inakwambia eti kosoa kwa staha basi upinzani kwishney. Kukosoa siku siku zote hakuwezi kuw kwa staha huo siyo ukosoaji. Ukosoaji lazim uwe madhubuti na strong.
Msitegemee Tena madai yakatiba mpya maana huko Ni kukosoa na kuleta vurugu ambapo serikali imesema kosoa kwa staha
Kuna watu wa ajabu sana katika nchi hii !! Wapo watu walitaka Mbowe aitishe mkutano wa hadhara jangwani siku hiyo hiyo alipotoka jela ??!!! Haingii akilini !!You might be right, but not absolute! Ukikosoa kwa kutukana unamwambia unayemkosoa ku+&%#m&*%^%# sasa hio ndiyo kukosoa? Unakosoa kwa facts and evidence. Hapo kuwa strong na usiyumbe!
Hilo nalo neno !!Fanya wewe Sasa ili tukuone
Wewe Katiba Unahitaji? If yes. Kwanini uitegemee kwa upinzani? Wewe kama raia role yake ni ipi? Kuwa keyboard warrior?Ukishaona serikali inakwambia eti kosoa kwa staha basi upinzani kwishney. Kukosoa siku siku zote hakuwezi kuw kwa staha huo siyo ukosoaji. Ukosoaji lazim uwe madhubuti na strong.
Msitegemee Tena madai yakatiba mpya maana huko Ni kukosoa na kuleta vurugu ambapo serikali imesema kosoa kwa staha
Kichaa sio lazima ale jalalaniUkishaona serikali inakwambia eti kosoa kwa staha basi upinzani kwishney. Kukosoa siku siku zote hakuwezi kuw kwa staha huo siyo ukosoaji. Ukosoaji lazim uwe madhubuti na strong.
Msitegemee Tena madai yakatiba mpya maana huko Ni kukosoa na kuleta vurugu ambapo serikali imesema kosoa kwa staha