Upinzani umezikwa rasmi Tanzania

Sio ndiyo vizuri ili tusifanyiane fujo na tugawane viti vya u ungejua n.k
 
Japo hawasemi lakn top opposition leaders wote walishajikatia tamaa kama binadam..kwanza umri wao umesogea lakn pili ni kutokana na ukweli kwamba; anayejudge ushindi wa mgombea si mostly kura tena.na ni utaratibu huuhuu ndio utaamua ushindi wa samia 2025.
 
Morali ya akina Mrema, Cheyo, Lipumba mwaka 1995-2000 siyo ya 2010 na kuendelea...hata ari aliyokuwa nayo Maalim self hamad huko nyuma siyo aliyokufa nayo...upinzani utengeneze vijana wengne.
 
Wewe Katiba Unahitaji? If yes. Kwanini uitegemee kwa upinzani? Wewe kama raia role yake ni ipi? Kuwa keyboard warrior?
Nipo nawe mkuu,humu ndani tuna dot. Com wengi mno ambao wamezoeshwa kutafuniwa kila kitu, wewe mtoa hoja umetoa mchango gani katika kuimarisha upinzani nchini?kwangu ninakuona kama troop leader wa keyboard team
 
Upinzani wa kweli ndio umefufuka rasmi,kilichozikwa ni upinzani uchwara

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ukitaka ukosane na uambulie matusiii. Kosoa mwenendo wa upinzani

Ukitaka ushangiliwe na hii timu hapa:



Au na wavaa jezi kama timu ya wananchi hapo:



Basi weka weka comments kama yako.

"Hata sasa wanakushangilia na kukupongeza sana tu mkuu!"
 
😳😳😳Kwan upinzan bado upo? C tuliambiwa mpaka tweny tweny utakua umekufa? Na mithread kibao ya mbogamboga kua upinzan kwishney!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…