Upinzani Uturuki kukabiliwa na Mashtaka ya Chama kuendesha Mkutano kinyume cha Sheria

Upinzani Uturuki kukabiliwa na Mashtaka ya Chama kuendesha Mkutano kinyume cha Sheria

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Chama kikuu cha upinzani nchini Uturuki, Republican People’s Party (CHP), kinakabiliwa na mtikisiko mkubwa ambapo leo Septemba 15, 2025 Mahakama mjini Ankara inatarajiwa kuamua iwapo itabatilisha mkutano mkuu wa chama hicho uliofanyika mwaka 2023 kwa madai ya kasoro za kisheria. Hatua ambayo inaweza kumng’oa mwenyekiti wa chama hicho, Özgür Özel na kudhoofisha zaidi uongozi na nguvu ya upinzani pamoja na demokrasia

Tayari mamia ya wanachama wa CHP wanashikiliwa mahabusu wakisubiri kesi katika uchunguzi mpana wa madai ya ufisadi na uhusiano na ugaidi, wakiwemo wapinzani wakuu wa Rais Tayyip Erdogan, miongoni mwao ni Meya wa Istanbul Ekrem Imamoglu. Wiki iliyopita maandamano ya kupinga hatua za serikali yaliendelea kushika kasi katika miji mbalimbali. Huku Serikali ikidai Mahakama ipo huru na inajitegemea

Wachambuzi na wanasema uamuzi wa mahakama unaweza kuashiria mabadiliko makubwa kutoka mfumo wa “utawala wa ushindani” ambapo wapinzani bado walikuwa na nafasi ya kushinda uchaguzi, kwenda kwenye mfumo wa “utawala wa kiimla” unaowanyima upinzani nguvu. Hali hii imezua hofu kubwa kiuchumi.

1757919726051.png

===========


1757919850944.png
Turkey's main opposition party, already battered by an unprecedented legal crackdown, could see its leader ousted by a court on Monday in what some see as a test of the country's shaky balance between democracy and autocracy

An Ankara court is set to decide whether to annul the party's 2023 congress over alleged procedural irregularities - a move that would strip its chairman, Ozgur Ozel, of his title and further erode the opposition's leadership and authority. Hundreds of members of the Republican People's Party (CHP) have been jailed pending trial in a sprawling probe into alleged graft and terrorism links, among them President Tayyip Erdogan's main political rival, Istanbul Mayor Ekrem Imamoglu

The centrist CHP, which denies the charges against it, is level with Erdogan's Islamic-rooted, conservative AK party (AKP) in polls. Ozel, 50, its scrappy, hoarse-voiced leader, has risen to prominence since Imamoglu's detention.
Anti-Erdogan street protests have flared again in the last week, including in Ankara on Sunday, over a legal crackdown critics call politicised and anti-democratic

The government rejects this, saying the judiciary is independent

"This is a serious moment that signals a regime change in Turkey from a competitive authoritarianism, in which opposition parties could still win elections, to a kind of hegemonic authoritarianism, in which they are more symbolic and unable to win," said Seren Selvin Korkmaz, co-founder and co-director of IstanPol Institute, an Istanbul-based think tank

Turkish stocks, bonds and lira have skidded ahead of the court decision. They crashed in March when Imamoglu was jailed pending trial, underscoring concerns over rule of law in the major emerging market economy where inflation remains above 30%.

Source: Reuters
 

Attachments

  • 1757920065221.png
    1757920065221.png
    900 KB · Views: 42
Back
Top Bottom