GE2025 Upinzani wa Tanzania umepoteza golden opportunity dhidi ya CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Vyama vya upinzani vya Tanzania ukiondoa chama cha CHADEMA Vimeonesha wazi ya kwamba havipo kwaajili ya kuiondoa CCM madarakani bali vipo kwaajili ya kukifanya chama mapinduzi kuendelea kuwa madarakani.

Vyama vya upinzani vilikuwa na nafasi adhimu ya kukibana chama Cha CCM kikae pamoja nao na kufanya mabadiliko makubwa kabla ya kuingia kwenye uchaguzi kwa vyama vyote vya upinzani Kugoma kusign kanuni za maadili ya uchaguzi. Kitendo Cha vyama vya upinzani kukataa kusaini hizo kanuni kungepelekea CCM kushiriki uchaguzi pekee yake kitu ambacho kingekuwa kigumu kwao hivyo wangeingia kwenye mtego wa aidha CCM waende wenyewe kwenye uchaguzi au wasitishe mchakato wa uchaguzi mpaka reforms zifanyike.

Ila jambo la kushangaza wapinzani wakasema mhuni hasusiwi au wengine wakasema watalinda kura. Sasa unahangaika kulinda kura wakati ulikuwa na fursa ya Kugoma kusaini hizo kanuni ili uweke mazingira mazuri yasiyo kalazimisha kulinda hizo kura?. Wengine baada ya kusaini zile Kanuni wakaanza kulia kwamba zifanyiwe marekebisho. Kwakweli upinzani mmetuangusha wananchi.

Niseme tu kitendo Cha vyama vya upinzani kusaini kanuni za uchaguzi kimetoa ruhusa kwa CCM kuendelea na uchakakuaji wake maana Vyama vyote vimeridhia kanuni hazina shida. Yeyote anayesema atapambana huko huko ulingoni ni mwongo. Kwanini upambane wakati fursa ya kuweka mazingira sahihi ulikuwa nayo ila ukaiacha? Kwanini ulinde kura wakati fursa ya kuweka mazingira bora ya kisheria ulikuwa nayo? Shame on you upinzani.

Vyama vya upinzani isipokuwa CHADEMA, vimeonesha unafiki na uoga kwa CCM. Nakipongeza chama Cha CHADEMA Kwa kukataa kushiriki uchaguzi huu maana historia itawakumbuka kama chama kilichokataa kuwa mtumwa wa CCM .
Kuwapigia kura wapinzani kwa uchaguzi wa mwaka huu ni kupoteza kura, ni ama ubaki nyumbani au ukawapigie wagombea wa ccm
 
Sikubaliani nawe unaposema Kuna wapinzani wamesaini Kanuni za maadili ya Uchaguzi,kilichofanyika ni CCM na Watoto wake wamesaini Kanuni za kombolela wanayoiita Uchaguzi na wapinzani halisi ndiyo hao waliokataa kusaini Kanuni Fake za Uchaguzi.It's white or black, Positive or Negative and No Neutrality when it comes to National interest.
No Reforms No Elections is inevitable,we want New Constitution now.
 
Nakubaliana na wewe mkuu, kwa Sasa Zanzibar hakuna upinzani na Wala hakuna harakati ngumu za upinzani kama kipindi Cha Maalim Seif.
Ile serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar ndo kichinjio Cha upinzani
 
Mkuu umefanya kosa kuandika ''upinzani''. Hivyo vyama wote ni matawi ya CCM. Hata Zanzibar Maalim aliondoka na upinzani. Trust me. Zanzibar sasa hivi kuna wasaka vyeo tu. Maneno yangu utayahakiki kwa ''uchaguzi'' unaokuja. Watakuwa comfortable kabisa kupewa vingora na nafasi za ubunge.
Kule Zanzibar, ACT wanasubiri kutangazwa washindi wa pili Ili waambulie ving'ora na nafasi za waziri zisizo na kichwa Wala miguu
 
Leo ndo umejua kuwa hivyo vinavyoitwa vyama 18 ni vyama shikizi vya ccm.

Miaka 5 havifanyi mikutano wala havifanyi uchaguzi ndani ya chama lakini haviguswi na msajili. Wafanye hivo Chadema msajili anaenda na bodaboda kupeleka barua.

Cha ajabu mwaka huu eti vyote vimesimamisha wagombea wa Urais ili ionekane kuwa mwaka huu kuna wagombea 19 wa Urais. Makende yao.
Kwaiyo ulipenda kwako kidemokrasia vyama vyote navyo visuse Sababu Chadema wamesusa.!!!
 
Ccm iliyojizatiti toka uhuru haiwezi kutoka madarakani kirais rahis kama unavyofikiria.Vyama vyote iwe chadema iwe nani hakuna hata kimoja chenye mipango madhubuti yakuitoa ccm madarakani zaidi yakufuraisha wanachama wao ili wasikie wanachokitaka.,labda uniambie kupambania ubunge ila sio nafasi ya urais,vinginevyo useme majaribio yakuitoa ila sio kuitoa.Huo ndio ukweli kama hujashikiwa akili utaelewa
 
Vyama vya upinzani vya Tanzania ukiondoa chama cha CHADEMA Vimeonesha wazi ya kwamba havipo kwaajili ya kuiondoa CCM madarakani bali vipo kwaajili ya kukifanya chama mapinduzi kuendelea kuwa madarakani.

Vyama vya upinzani vilikuwa na nafasi adhimu ya kukibana chama Cha CCM kikae pamoja nao na kufanya mabadiliko makubwa kabla ya kuingia kwenye uchaguzi kwa vyama vyote vya upinzani Kugoma kusign kanuni za maadili ya uchaguzi. Kitendo Cha vyama vya upinzani kukataa kusaini hizo kanuni kungepelekea CCM kushiriki uchaguzi pekee yake kitu ambacho kingekuwa kigumu kwao hivyo wangeingia kwenye mtego wa aidha CCM waende wenyewe kwenye uchaguzi au wasitishe mchakato wa uchaguzi mpaka reforms zifanyike.

Ila jambo la kushangaza wapinzani wakasema mhuni hasusiwi au wengine wakasema watalinda kura. Sasa unahangaika kulinda kura wakati ulikuwa na fursa ya Kugoma kusaini hizo kanuni ili uweke mazingira mazuri yasiyo kalazimisha kulinda hizo kura?. Wengine baada ya kusaini zile Kanuni wakaanza kulia kwamba zifanyiwe marekebisho. Kwakweli upinzani mmetuangusha wananchi.

Niseme tu kitendo Cha vyama vya upinzani kusaini kanuni za uchaguzi kimetoa ruhusa kwa CCM kuendelea na uchakakuaji wake maana Vyama vyote vimeridhia kanuni hazina shida. Yeyote anayesema atapambana huko huko ulingoni ni mwongo. Kwanini upambane wakati fursa ya kuweka mazingira sahihi ulikuwa nayo ila ukaiacha? Kwanini ulinde kura wakati fursa ya kuweka mazingira bora ya kisheria ulikuwa nayo? Shame on you upinzani.

Vyama vya upinzani isipokuwa CHADEMA, vimeonesha unafiki na uoga kwa CCM. Nakipongeza chama Cha CHADEMA Kwa kukataa kushiriki uchaguzi huu maana historia itawakumbuka kama chama kilichokataa kuwa mtumwa wa CCM .
Tanzania kuna waganga njaa hakuna Wapinzani
 
Kabisa, NO REFORN NO ELECTION ilikuwa ndio mahali pa kuibaba CCM kwa kususia uchagu usio wa huru na wa haki!

Mimi binafsi nimepigwa na butwaa kubwa kuona vyama vya upinzani vikishindwa kuunga mkono kampeni ya NO R NO E. Viongozi wote wa upinzani waliokubali kushiriki uchaguzi dhalimu wameonesha umbumbumbu mkubwa kabisa na level ya juu kabisa ya unseriousness kwenye ukombozi wa nchi hii!

Hawa viongozi ni kama kengele za mbao na hawatufai kwani ni viongozi wa matumbo yao na tusiwaunge mkono hata kidogo.
 
Vyama vya upinzani vya Tanzania ukiondoa chama cha CHADEMA Vimeonesha wazi ya kwamba havipo kwaajili ya kuiondoa CCM madarakani bali vipo kwaajili ya kukifanya chama mapinduzi kuendelea kuwa madarakani.

Vyama vya upinzani vilikuwa na nafasi adhimu ya kukibana chama Cha CCM kikae pamoja nao na kufanya mabadiliko makubwa kabla ya kuingia kwenye uchaguzi kwa vyama vyote vya upinzani Kugoma kusign kanuni za maadili ya uchaguzi. Kitendo Cha vyama vya upinzani kukataa kusaini hizo kanuni kungepelekea CCM kushiriki uchaguzi pekee yake kitu ambacho kingekuwa kigumu kwao hivyo wangeingia kwenye mtego wa aidha CCM waende wenyewe kwenye uchaguzi au wasitishe mchakato wa uchaguzi mpaka reforms zifanyike.

Ila jambo la kushangaza wapinzani wakasema mhuni hasusiwi au wengine wakasema watalinda kura. Sasa unahangaika kulinda kura wakati ulikuwa na fursa ya Kugoma kusaini hizo kanuni ili uweke mazingira mazuri yasiyo kalazimisha kulinda hizo kura?. Wengine baada ya kusaini zile Kanuni wakaanza kulia kwamba zifanyiwe marekebisho. Kwakweli upinzani mmetuangusha wananchi.

Niseme tu kitendo Cha vyama vya upinzani kusaini kanuni za uchaguzi kimetoa ruhusa kwa CCM kuendelea na uchakakuaji wake maana Vyama vyote vimeridhia kanuni hazina shida. Yeyote anayesema atapambana huko huko ulingoni ni mwongo. Kwanini upambane wakati fursa ya kuweka mazingira sahihi ulikuwa nayo ila ukaiacha? Kwanini ulinde kura wakati fursa ya kuweka mazingira bora ya kisheria ulikuwa nayo? Shame on you upinzani.

Vyama vya upinzani isipokuwa CHADEMA, vimeonesha unafiki na uoga kwa CCM. Nakipongeza chama Cha CHADEMA Kwa kukataa kushiriki uchaguzi huu maana historia itawakumbuka kama chama kilichokataa kuwa mtumwa wa CCM .

Tanzania haina vyama vya upinzani. Ina Chadema na vyama vya CCM usikojua hilo utakuwa mtu wa kushangaa kila
Siku. Chama cha upinzani ni Chadema peke yao
 
Kanuni za uchaguzi hata zingekuwa nzuri kiasi gani haziwezi kuwa mrobaini wa rafu za uchaguzi ambazo mzizi wake ni ubovu wa katiba.
Dawa pekee ni reforms za kikatiba.
 
Nakubaliana na wewe mkuu, kwa Sasa Zanzibar hakuna upinzani na Wala hakuna harakati ngumu za upinzani kama kipindi Cha Maalim Seif.
Zitto kaua upinzani Zanzibar, hakuna wanachopigania baada Maalim Seif, wakina Jussa na wenzake wako in sleeping mode kama wamepigwa ganzi.

Maalim Seif angerudi sasa hivi anagesikitika sana.
Naomba kuuliza pia kuhusu Sheikh Ponda, sijamsikia tena toka ahamie ACT
 
Vyama vya upinzani vya Tanzania ukiondoa chama cha CHADEMA Vimeonesha wazi ya kwamba havipo kwaajili ya kuiondoa CCM madarakani bali vipo kwaajili ya kukifanya chama mapinduzi kuendelea kuwa madarakani.

Vyama vya upinzani vilikuwa na nafasi adhimu ya kukibana chama Cha CCM kikae pamoja nao na kufanya mabadiliko makubwa kabla ya kuingia kwenye uchaguzi kwa vyama vyote vya upinzani Kugoma kusign kanuni za maadili ya uchaguzi. Kitendo Cha vyama vya upinzani kukataa kusaini hizo kanuni kungepelekea CCM kushiriki uchaguzi pekee yake kitu ambacho kingekuwa kigumu kwao hivyo wangeingia kwenye mtego wa aidha CCM waende wenyewe kwenye uchaguzi au wasitishe mchakato wa uchaguzi mpaka reforms zifanyike.

Ila jambo la kushangaza wapinzani wakasema mhuni hasusiwi au wengine wakasema watalinda kura. Sasa unahangaika kulinda kura wakati ulikuwa na fursa ya Kugoma kusaini hizo kanuni ili uweke mazingira mazuri yasiyo kalazimisha kulinda hizo kura?. Wengine baada ya kusaini zile Kanuni wakaanza kulia kwamba zifanyiwe marekebisho. Kwakweli upinzani mmetuangusha wananchi.

Niseme tu kitendo Cha vyama vya upinzani kusaini kanuni za uchaguzi kimetoa ruhusa kwa CCM kuendelea na uchakakuaji wake maana Vyama vyote vimeridhia kanuni hazina shida. Yeyote anayesema atapambana huko huko ulingoni ni mwongo. Kwanini upambane wakati fursa ya kuweka mazingira sahihi ulikuwa nayo ila ukaiacha? Kwanini ulinde kura wakati fursa ya kuweka mazingira bora ya kisheria ulikuwa nayo? Shame on you upinzani.

Vyama vya upinzani isipokuwa CHADEMA, vimeonesha unafiki na uoga kwa CCM. Nakipongeza chama Cha CHADEMA Kwa kukataa kushiriki uchaguzi huu maana historia itawakumbuka kama chama kilichokataa kuwa mtumwa wa CCM .
Viongozi wengi wa upinzani sio wapinzani, huwa wanatumika tu. Hata hao waliobaki CHADEMA ni wachache ndiyo wana dhamira ya kuitoa CCM madarakani.
 
Sema kuna Jambo la kuliangalia hapa
 
Back
Top Bottom