LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 11,788
- 15,406
Kuwapigia kura wapinzani kwa uchaguzi wa mwaka huu ni kupoteza kura, ni ama ubaki nyumbani au ukawapigie wagombea wa ccmVyama vya upinzani vya Tanzania ukiondoa chama cha CHADEMA Vimeonesha wazi ya kwamba havipo kwaajili ya kuiondoa CCM madarakani bali vipo kwaajili ya kukifanya chama mapinduzi kuendelea kuwa madarakani.
Vyama vya upinzani vilikuwa na nafasi adhimu ya kukibana chama Cha CCM kikae pamoja nao na kufanya mabadiliko makubwa kabla ya kuingia kwenye uchaguzi kwa vyama vyote vya upinzani Kugoma kusign kanuni za maadili ya uchaguzi. Kitendo Cha vyama vya upinzani kukataa kusaini hizo kanuni kungepelekea CCM kushiriki uchaguzi pekee yake kitu ambacho kingekuwa kigumu kwao hivyo wangeingia kwenye mtego wa aidha CCM waende wenyewe kwenye uchaguzi au wasitishe mchakato wa uchaguzi mpaka reforms zifanyike.
Ila jambo la kushangaza wapinzani wakasema mhuni hasusiwi au wengine wakasema watalinda kura. Sasa unahangaika kulinda kura wakati ulikuwa na fursa ya Kugoma kusaini hizo kanuni ili uweke mazingira mazuri yasiyo kalazimisha kulinda hizo kura?. Wengine baada ya kusaini zile Kanuni wakaanza kulia kwamba zifanyiwe marekebisho. Kwakweli upinzani mmetuangusha wananchi.
Niseme tu kitendo Cha vyama vya upinzani kusaini kanuni za uchaguzi kimetoa ruhusa kwa CCM kuendelea na uchakakuaji wake maana Vyama vyote vimeridhia kanuni hazina shida. Yeyote anayesema atapambana huko huko ulingoni ni mwongo. Kwanini upambane wakati fursa ya kuweka mazingira sahihi ulikuwa nayo ila ukaiacha? Kwanini ulinde kura wakati fursa ya kuweka mazingira bora ya kisheria ulikuwa nayo? Shame on you upinzani.
Vyama vya upinzani isipokuwa CHADEMA, vimeonesha unafiki na uoga kwa CCM. Nakipongeza chama Cha CHADEMA Kwa kukataa kushiriki uchaguzi huu maana historia itawakumbuka kama chama kilichokataa kuwa mtumwa wa CCM .
Uchaguzi ama uchafuziKukimbia uchaguzi ni wazo la kipumbavu sana kufanywa na chama cha siasa
Sikubaliani nawe unaposema Kuna wapinzani wamesaini Kanuni za maadili ya Uchaguzi,kilichofanyika ni CCM na Watoto wake wamesaini Kanuni za kombolela wanayoiita Uchaguzi na wapinzani halisi ndiyo hao waliokataa kusaini Kanuni Fake za Uchaguzi.It's white or black, Positive or Negative and No Neutrality when it comes to National interest.Vyama vya upinzani vya Tanzania ukiondoa chama cha CHADEMA Vimeonesha wazi ya kwamba havipo kwaajili ya kuiondoa CCM madarakani bali vipo kwaajili ya kukifanya chama mapinduzi kuendelea kuwa madarakani.
Vyama vya upinzani vilikuwa na nafasi adhimu ya kukibana chama Cha CCM kikae pamoja nao na kufanya mabadiliko makubwa kabla ya kuingia kwenye uchaguzi kwa vyama vyote vya upinzani Kugoma kusign kanuni za maadili ya uchaguzi. Kitendo Cha vyama vya upinzani kukataa kusaini hizo kanuni kungepelekea CCM kushiriki uchaguzi pekee yake kitu ambacho kingekuwa kigumu kwao hivyo wangeingia kwenye mtego wa aidha CCM waende wenyewe kwenye uchaguzi au wasitishe mchakato wa uchaguzi mpaka reforms zifanyike.
Ila jambo la kushangaza wapinzani wakasema mhuni hasusiwi au wengine wakasema watalinda kura. Sasa unahangaika kulinda kura wakati ulikuwa na fursa ya Kugoma kusaini hizo kanuni ili uweke mazingira mazuri yasiyo kalazimisha kulinda hizo kura?. Wengine baada ya kusaini zile Kanuni wakaanza kulia kwamba zifanyiwe marekebisho. Kwakweli upinzani mmetuangusha wananchi.
Niseme tu kitendo Cha vyama vya upinzani kusaini kanuni za uchaguzi kimetoa ruhusa kwa CCM kuendelea na uchakakuaji wake maana Vyama vyote vimeridhia kanuni hazina shida. Yeyote anayesema atapambana huko huko ulingoni ni mwongo. Kwanini upambane wakati fursa ya kuweka mazingira sahihi ulikuwa nayo ila ukaiacha? Kwanini ulinde kura wakati fursa ya kuweka mazingira bora ya kisheria ulikuwa nayo? Shame on you upinzani.
Vyama vya upinzani isipokuwa CHADEMA, vimeonesha unafiki na uoga kwa CCM. Nakipongeza chama Cha CHADEMA Kwa kukataa kushiriki uchaguzi huu maana historia itawakumbuka kama chama kilichokataa kuwa mtumwa wa CCM .
Ile serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar ndo kichinjio Cha upinzaniNakubaliana na wewe mkuu, kwa Sasa Zanzibar hakuna upinzani na Wala hakuna harakati ngumu za upinzani kama kipindi Cha Maalim Seif.
Kule Zanzibar, ACT wanasubiri kutangazwa washindi wa pili Ili waambulie ving'ora na nafasi za waziri zisizo na kichwa Wala miguuMkuu umefanya kosa kuandika ''upinzani''. Hivyo vyama wote ni matawi ya CCM. Hata Zanzibar Maalim aliondoka na upinzani. Trust me. Zanzibar sasa hivi kuna wasaka vyeo tu. Maneno yangu utayahakiki kwa ''uchaguzi'' unaokuja. Watakuwa comfortable kabisa kupewa vingora na nafasi za ubunge.
Lakini haviwezi kufikia level ya upumbavu wakoKukimbia uchaguzi ni wazo la kipumbavu sana kufanywa na chama cha siasa
Kwaiyo ulipenda kwako kidemokrasia vyama vyote navyo visuse Sababu Chadema wamesusa.!!!Leo ndo umejua kuwa hivyo vinavyoitwa vyama 18 ni vyama shikizi vya ccm.
Miaka 5 havifanyi mikutano wala havifanyi uchaguzi ndani ya chama lakini haviguswi na msajili. Wafanye hivo Chadema msajili anaenda na bodaboda kupeleka barua.
Cha ajabu mwaka huu eti vyote vimesimamisha wagombea wa Urais ili ionekane kuwa mwaka huu kuna wagombea 19 wa Urais. Makende yao.
Tanzania kuna waganga njaa hakuna WapinzaniVyama vya upinzani vya Tanzania ukiondoa chama cha CHADEMA Vimeonesha wazi ya kwamba havipo kwaajili ya kuiondoa CCM madarakani bali vipo kwaajili ya kukifanya chama mapinduzi kuendelea kuwa madarakani.
Vyama vya upinzani vilikuwa na nafasi adhimu ya kukibana chama Cha CCM kikae pamoja nao na kufanya mabadiliko makubwa kabla ya kuingia kwenye uchaguzi kwa vyama vyote vya upinzani Kugoma kusign kanuni za maadili ya uchaguzi. Kitendo Cha vyama vya upinzani kukataa kusaini hizo kanuni kungepelekea CCM kushiriki uchaguzi pekee yake kitu ambacho kingekuwa kigumu kwao hivyo wangeingia kwenye mtego wa aidha CCM waende wenyewe kwenye uchaguzi au wasitishe mchakato wa uchaguzi mpaka reforms zifanyike.
Ila jambo la kushangaza wapinzani wakasema mhuni hasusiwi au wengine wakasema watalinda kura. Sasa unahangaika kulinda kura wakati ulikuwa na fursa ya Kugoma kusaini hizo kanuni ili uweke mazingira mazuri yasiyo kalazimisha kulinda hizo kura?. Wengine baada ya kusaini zile Kanuni wakaanza kulia kwamba zifanyiwe marekebisho. Kwakweli upinzani mmetuangusha wananchi.
Niseme tu kitendo Cha vyama vya upinzani kusaini kanuni za uchaguzi kimetoa ruhusa kwa CCM kuendelea na uchakakuaji wake maana Vyama vyote vimeridhia kanuni hazina shida. Yeyote anayesema atapambana huko huko ulingoni ni mwongo. Kwanini upambane wakati fursa ya kuweka mazingira sahihi ulikuwa nayo ila ukaiacha? Kwanini ulinde kura wakati fursa ya kuweka mazingira bora ya kisheria ulikuwa nayo? Shame on you upinzani.
Vyama vya upinzani isipokuwa CHADEMA, vimeonesha unafiki na uoga kwa CCM. Nakipongeza chama Cha CHADEMA Kwa kukataa kushiriki uchaguzi huu maana historia itawakumbuka kama chama kilichokataa kuwa mtumwa wa CCM .
Kabisa, NO REFORN NO ELECTION ilikuwa ndio mahali pa kuibaba CCM kwa kususia uchagu usio wa huru na wa haki!Vyama vya upinzani vya Tanzania ukiondoa chama cha CHADEMA Vimeonesha wazi ya kwamba havipo kwaajili ya kuiondoa CCM madarakani bali vipo kwaajili ya kukifanya chama mapinduzi kuendelea kuwa madarakani.
Vyama vya upinzani vilikuwa na nafasi adhimu ya kukibana chama Cha CCM kikae pamoja nao na kufanya mabadiliko makubwa kabla ya kuingia kwenye uchaguzi kwa vyama vyote vya upinzani Kugoma kusign kanuni za maadili ya uchaguzi. Kitendo Cha vyama vya upinzani kukataa kusaini hizo kanuni kungepelekea CCM kushiriki uchaguzi pekee yake kitu ambacho kingekuwa kigumu kwao hivyo wangeingia kwenye mtego wa aidha CCM waende wenyewe kwenye uchaguzi au wasitishe mchakato wa uchaguzi mpaka reforms zifanyike.
Ila jambo la kushangaza wapinzani wakasema mhuni hasusiwi au wengine wakasema watalinda kura. Sasa unahangaika kulinda kura wakati ulikuwa na fursa ya Kugoma kusaini hizo kanuni ili uweke mazingira mazuri yasiyo kalazimisha kulinda hizo kura?. Wengine baada ya kusaini zile Kanuni wakaanza kulia kwamba zifanyiwe marekebisho. Kwakweli upinzani mmetuangusha wananchi.
Niseme tu kitendo Cha vyama vya upinzani kusaini kanuni za uchaguzi kimetoa ruhusa kwa CCM kuendelea na uchakakuaji wake maana Vyama vyote vimeridhia kanuni hazina shida. Yeyote anayesema atapambana huko huko ulingoni ni mwongo. Kwanini upambane wakati fursa ya kuweka mazingira sahihi ulikuwa nayo ila ukaiacha? Kwanini ulinde kura wakati fursa ya kuweka mazingira bora ya kisheria ulikuwa nayo? Shame on you upinzani.
Vyama vya upinzani isipokuwa CHADEMA, vimeonesha unafiki na uoga kwa CCM. Nakipongeza chama Cha CHADEMA Kwa kukataa kushiriki uchaguzi huu maana historia itawakumbuka kama chama kilichokataa kuwa mtumwa wa CCM .
Vyama vya upinzani vya Tanzania ukiondoa chama cha CHADEMA Vimeonesha wazi ya kwamba havipo kwaajili ya kuiondoa CCM madarakani bali vipo kwaajili ya kukifanya chama mapinduzi kuendelea kuwa madarakani.
Vyama vya upinzani vilikuwa na nafasi adhimu ya kukibana chama Cha CCM kikae pamoja nao na kufanya mabadiliko makubwa kabla ya kuingia kwenye uchaguzi kwa vyama vyote vya upinzani Kugoma kusign kanuni za maadili ya uchaguzi. Kitendo Cha vyama vya upinzani kukataa kusaini hizo kanuni kungepelekea CCM kushiriki uchaguzi pekee yake kitu ambacho kingekuwa kigumu kwao hivyo wangeingia kwenye mtego wa aidha CCM waende wenyewe kwenye uchaguzi au wasitishe mchakato wa uchaguzi mpaka reforms zifanyike.
Ila jambo la kushangaza wapinzani wakasema mhuni hasusiwi au wengine wakasema watalinda kura. Sasa unahangaika kulinda kura wakati ulikuwa na fursa ya Kugoma kusaini hizo kanuni ili uweke mazingira mazuri yasiyo kalazimisha kulinda hizo kura?. Wengine baada ya kusaini zile Kanuni wakaanza kulia kwamba zifanyiwe marekebisho. Kwakweli upinzani mmetuangusha wananchi.
Niseme tu kitendo Cha vyama vya upinzani kusaini kanuni za uchaguzi kimetoa ruhusa kwa CCM kuendelea na uchakakuaji wake maana Vyama vyote vimeridhia kanuni hazina shida. Yeyote anayesema atapambana huko huko ulingoni ni mwongo. Kwanini upambane wakati fursa ya kuweka mazingira sahihi ulikuwa nayo ila ukaiacha? Kwanini ulinde kura wakati fursa ya kuweka mazingira bora ya kisheria ulikuwa nayo? Shame on you upinzani.
Vyama vya upinzani isipokuwa CHADEMA, vimeonesha unafiki na uoga kwa CCM. Nakipongeza chama Cha CHADEMA Kwa kukataa kushiriki uchaguzi huu maana historia itawakumbuka kama chama kilichokataa kuwa mtumwa wa CCM .
NdiyoKwaiyo ulipenda kwako kidemokrasia vyama vyote navyo visuse Sababu Chadema wamesusa.!!!
Zitto kaua upinzani Zanzibar, hakuna wanachopigania baada Maalim Seif, wakina Jussa na wenzake wako in sleeping mode kama wamepigwa ganzi.Nakubaliana na wewe mkuu, kwa Sasa Zanzibar hakuna upinzani na Wala hakuna harakati ngumu za upinzani kama kipindi Cha Maalim Seif.
Usinikosee heshima Mimi sio Mrundi ni Mtanzania asilia.
Viongozi wengi wa upinzani sio wapinzani, huwa wanatumika tu. Hata hao waliobaki CHADEMA ni wachache ndiyo wana dhamira ya kuitoa CCM madarakani.Vyama vya upinzani vya Tanzania ukiondoa chama cha CHADEMA Vimeonesha wazi ya kwamba havipo kwaajili ya kuiondoa CCM madarakani bali vipo kwaajili ya kukifanya chama mapinduzi kuendelea kuwa madarakani.
Vyama vya upinzani vilikuwa na nafasi adhimu ya kukibana chama Cha CCM kikae pamoja nao na kufanya mabadiliko makubwa kabla ya kuingia kwenye uchaguzi kwa vyama vyote vya upinzani Kugoma kusign kanuni za maadili ya uchaguzi. Kitendo Cha vyama vya upinzani kukataa kusaini hizo kanuni kungepelekea CCM kushiriki uchaguzi pekee yake kitu ambacho kingekuwa kigumu kwao hivyo wangeingia kwenye mtego wa aidha CCM waende wenyewe kwenye uchaguzi au wasitishe mchakato wa uchaguzi mpaka reforms zifanyike.
Ila jambo la kushangaza wapinzani wakasema mhuni hasusiwi au wengine wakasema watalinda kura. Sasa unahangaika kulinda kura wakati ulikuwa na fursa ya Kugoma kusaini hizo kanuni ili uweke mazingira mazuri yasiyo kalazimisha kulinda hizo kura?. Wengine baada ya kusaini zile Kanuni wakaanza kulia kwamba zifanyiwe marekebisho. Kwakweli upinzani mmetuangusha wananchi.
Niseme tu kitendo Cha vyama vya upinzani kusaini kanuni za uchaguzi kimetoa ruhusa kwa CCM kuendelea na uchakakuaji wake maana Vyama vyote vimeridhia kanuni hazina shida. Yeyote anayesema atapambana huko huko ulingoni ni mwongo. Kwanini upambane wakati fursa ya kuweka mazingira sahihi ulikuwa nayo ila ukaiacha? Kwanini ulinde kura wakati fursa ya kuweka mazingira bora ya kisheria ulikuwa nayo? Shame on you upinzani.
Vyama vya upinzani isipokuwa CHADEMA, vimeonesha unafiki na uoga kwa CCM. Nakipongeza chama Cha CHADEMA Kwa kukataa kushiriki uchaguzi huu maana historia itawakumbuka kama chama kilichokataa kuwa mtumwa wa CCM .
Sema kuna Jambo la kuliangalia hapaVyama vya upinzani vya Tanzania ukiondoa chama cha CHADEMA Vimeonesha wazi ya kwamba havipo kwaajili ya kuiondoa CCM madarakani bali vipo kwaajili ya kukifanya chama mapinduzi kuendelea kuwa madarakani.