Kenyan
JF-Expert Member
- Jun 7, 2012
- 414
- 314
Viongozi wa Muungano wa Azimio wakiongozwa na Raila Odinga wamegoma kukubali mwaliko wa Rais William Ruto kuhudhuria maombi ya kitaifa yaliyoratibiwa kufanyika leo.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari, Azimio imedai kitendo cha serikali ya Kenya kwanza kuandaa hafla ya maombi ya kitaifa ni cha kumfanyia mzaha Mungu.
Kenya Kila mwaka huandaa maombi haya ambapo Viongozi wa serikali na upinzani hukutana ukumbini kwa ajili ya Sala.