Upinzani waruhusiwa kukagua mitambo ya tume ya uchaguzi Kenya

Upinzani waruhusiwa kukagua mitambo ya tume ya uchaguzi Kenya

Kwani Merakani hawana ukabila? Uturuki hawana ukabila? Leo hivi ni vigumu sana mtu mwenye asili ya Latino kuchaguliwa rais na Obama alipata baada ya miaka 235 ya ubaguzi .Pale Uturuki vigumu sana mtu mwenye asili ya Kurdish kuwa rais wa Uturuki.
Nchi zote hizo zina demokrasia iliyojengwa kupendezesha kundi fulani katika jamii. Marekani demokrasia yao iliandikwa kumlinda mzungu na mali zake kabla ya marekebisho ya hapa na pale. Wahindi wa asili wa Marekani hawawezi kupata nafasi ya juu ya kisiasa bila baraka za mzungu, Obama mwenyewe alizungukwa na wazungu ndio akaweza kutoboa, angenda mwenye na waswahili wenzake asinge fika hapo alipo. Uturuki ni hivyo hivyo, jamii ndogo kama hizo za wakurdish, haziwezi kuwa na sauti ya kisiasa bila kujingiza kwenye muungano na vyama vingine vikubwa kama AKP na HDP. Demokrasia ya kweli ni ile inayotowa nafasi za kila raia na sio baadhi ya watu. Ndio shida ambayo naona kwa mtu anayetoka Malindi kupewa nafasi ya kuongoza chama kama Jubilee. Demokrasia sio nafasi ya kusimama na kutoa maoni halafu wakati wa kushika usukani wanashika wengine wewe ukiwa msindikizaji tu.
 
kwani si mawakala wote wapo na data wanakuwaga nazo.....labda useme tuu teknolojia yao ya kuwasilisha matokeo ipo juu zaidi yetu and this inaenda stage by stage haukurupuki tuu hata wao wametoka huku tulipo japo sipingani na wewe wametuacha but not to that extent
It's not just a question of technology brother but hypocrisy inatawala hapa kwetu simply because watu wanataka kufukia mashimo ya uovu wao uliofanywa kwenye previous regimes. Cha ajabu kila incoming regime badala ya kufukia hayo maovu huchimba maovu mapya. Wanakuwa tayari kutumia vyombo vya umma kujiinstal hapa pale they don't deserve. Lakini na NEC yetu Siyo independent kama mihimili mingine isivyokuwa independent

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya wamefika hapo kwa kuwa ni matokeo ya kuchapana kipindi kile. Sasa wakiona kuna viashiria vya kurudi huko wananywea. Sisi ccm ikiendelea kukaidi basi hakuna namna
 
Wamerhusiwa kukagua mitambo ya IEBC ,mwaka juzi wakafanya fujo hadi maafisa wa tume wakabadilshwa sasa udanganyifu upo wapi? Waliambiwa mara nyingi kwamba IEBC haipigi kura lakini bado wana vijisababu vya kijinga.

uwezi changia hoja mpaka utoe povu !au mpka wakujue kua wewe ni mrengo gani katka uchaniaji wako!!
usioneshe udhaifu wako ambayo ni siri yako ,neno jinga-unampa mtu ili hali uwezi kujiita mwenyewe kwa namna ulivo jibu uzi hii-
 
Back
Top Bottom