Wataungana wapi hawa wakati wote wamekutana power mongers?Kila mmoja wao nataka awe the top guy not thinking that they have scavenged for that post for more than 10 years and yet nothing!Its time they give their seats to youthful,energetic and elucidated minds and brighter ones!
Wataungana wapi hawa wakati wote wamekutana power mongers?Kila mmoja wao nataka awe the top guy not thinking that they have scavenged for that post for more than 10 years and yet nothing!Its time they give their seats to youthful,energetic and elucidated minds and brighter ones!
Hii ni habari njema sana. Bravo wana Tarime. Mnatakiwa kuigwa na wadanganyika wote.Kweli kabisa. Hata mimi nimezipata toka Tarime. Mvungi alihutubia akamhusisha Mbowe na kifo cha Wangwe wananchi wakamwita mwongo, wakamzomea na kumpiga mawe. Mkutano haukuweza kumalizika. Hii ni mara ya pili, siku chache zilizopita viongozi wa CHAUSTA nao walifanya mkutano, walipomtukana Mbowe tu wakashushwa jukwaani. Ilikuwa wapigwe mawe kama Mvungi bahati yao kuna Mama aliyekuwa anahutubia alikuwa amebeba mtoto hivyo watu wakaogopa kumuumiza mtoto.
......ndiyohiyo
Hii ni habari njema sana. Bravo wana Tarime. Mnatakiwa kuigwa na wadanganyika wote.
Jana nilikuwa naongea na kiongozi mmoja wa CUF nikamsisitizia sana umuhimu wa vyama vya upinzani kuungana. Katika mazungumzo yetu akaonyesha kwa chama chake hilo halina kipaumbele na mimi nikazidi kusisitiza kwamba chaguzi tatu za vyama vingi zimeshafanyika na zote mmeshindwa vibaya sana hivyo kuna nyingine 3 au nne kabla ya kuungana. Wakati wa kuungana ni sasa![/coloumuhimu wa sasa kutoa kipaumbele cha hali ya juu katika umuhimu wa kuungana ili wafanye hivyo haraka sana. Hakuna haja ya kusubiri chaguzi r]
kwa kuwa mwanzoni wapinzani walikuwa wamoja na bado umoja wao tunauthamini sana, bado hatujajua kama ile ndoa yao wametarakiana na hivyo tuna sema tutawaelewa kama watakuwa wamoja na si vinginevyo.
Tunasema hata hawa CCM kazi wanaijua kazi kwao.
Wanafiki ni Chadema wanaotumia mwanvuli wa ushirikiano wa vyama kupora wanachama wa wengine na kujiimarisha. Washastukiwa sasa kila mtu kivyake kama noma na iwe noma!
isayamwita Mimi ni mchukia fisadi orginal hasa wala siogopi maana nawachukia mafisadi. Najua nchi hii tangu uhuru na hadi leo. Nimekuwa mwanachama wa Tanu youth league na Tanu na baadaye sisiemu kisha nikakata tamaa ya kuwa mwanachama wao tokana na ufisadi. Kadi nikaitupa chooni, na hata namba siikumbuki. Siku wakiwa sawa nitaoomba uanachama upya. Mtu anidanganyi kitu. Siogopi maana hata Mungu yuko upande wangu. Habari ndiyo hiyo.Mchukia fisadi,
Mimi kinachonikela ni kuwa, watu kama ninyi mnaojiita wachukia fisadi ila ni waoga kama mbeha, hakika sasa tunataka watu wenye hisia za kweli za kulitetea taifa hili, haiwezekani kabisa, tukaendelea kudanganywa na hawa mafisadi, sisi wana Tarime tumeshagundua hila zao na tunahaidi kuwa tutakuwa waaminifu kwa Taifa letu na Mungu wetu atusaidie.
Watanzania tukae hali hii, hawa viongozi wa kisiasa hawana nia njema na Taifa letu, wamejikita sana kujali masilahi yao huku sisi wakitupuuza, nawambieni tushikane tujenge taifa letu.
isayamwita Mimi ni mchukia fisadi orginal hasa wala siogopi maana nawachukia mafisadi. Najua nchi hii tangu uhuru na hadi leo. Nimekuwa mwanachama wa Tanu youth league na Tanu na baadaye sisiemu kisha nikakata tamaa ya kuwa mwanachama wao tokana na ufisadi. Kadi nikaitupa chooni, na hata namba siikumbuki. Siku wakiwa sawa nitaoomba uanachama upya. Mtu anidanganyi kitu. Siogopi maana hata Mungu yuko upande wangu. Habari ndiyo hiyo.
KICHEKESHO, KICHEKESHO, HEBU NI NINI MTIZAMO WA VYAMA VYA UPINZANI 2010? AMA NDIYE ILE KILA MTU AVUTE KWAKE?
Nimeikumbuka hii thread nikaona niilete mbele yenu wanaJF.
Kwa kweli hatujui itakuaje 2010, kila kukicha tunaona Kama CCM wanajipanga
Hebu kweli wapinzania watafurukuta 2010?