Jmushi,
Unajichanganya sana kwenye posts zako hadi inakuwa vigumu kukujibu. Kuwa na kitu kimoja specific unachotaka kujibiwa na utajibiwa (if any). Unajichanganya sana mkuu hadi inatisha.
Nataka majibu yote!
Nataka pia unionyeshe nilipojichanganya!
NANI ANAMCHANGANYA NANI NA SASA INAONEKANA KUWA NYIE MNAMPIGIA KIFUA KIKWETE NA ZITTO...SI NDIO WACHANGANYAJI...AMA NDO MIMI NDI MUULIZA MASWALI MCHANGANYIKO?
Nani mwenye kumchanganya nani?
Be specific Pls
Nataka majibu ambayo yataondoa utata wa nani ni nani na nani anataka nini na ni kivipi!
Twende na maswali machache at a time...
What about three at a time.....
Anza:
Kwanini hakupewa uwaziri mkuu ama something ambayo ataweza kuwatumikia wananchi ipasavyo kimaamuzi?
Ye anakubali vipi kuwa cheap kiasi hicho?
Kwa nini yeye ndio amsikilize Kikwete tu kila siku!?
Je Kikwete naye keshawahi kumsikiliza hata siku moja?
Je atamsikiliza this time around?
Kwanini ajitoe mzima mzima kussapoti mambo amabyo bado hatujaona umuhimu wa kuyasapoti kwasababu ya namna wananvyodili na mafisadi?
Je Zitto amepinga urafiki na Kikwete kiasi cha kujipindua kiasi hicho?
JE ANAAMINI KUWA MABADILIKO HAYO YATAHUSISHA KUWAKWIDA MAFISADI KAMA BALALI NA CHENGE?
Ama they still share the same ideas with His Excellence kuwa wasijali kuitwa mafisadi?
Kwanini hajiangaishi na utafutwaji wa Balali yeye kama mzalendo na mtu mzito KUTOKA Tanzania ambaye na yeye alishaweka wazi kupinga ufisadi?
Ama na yeye anakubaliana na Kikwete kuwa Balali haitajiki?
Ebo! Yaani wewe umeshatufanya sisi wanafunzi wako, unaibuka na maswali yako ambayo hayana ground yeyote unataka tukujibu tu ili? Sisi tunatoa maoni yetu katika issues hapa ambazo zimeibuliwa na Shy, sasa kama una personal issues na Zitto mpigie simu umalizane naye.
Issue ya Balali ni issue ya polisi na vyombo vya usalama. Zitto ameletwa hapa na state dept ya USA kwa mambo tofauti kabisa so sidhani kama ni kazi yake kutumia muda huu kudai mambo ya Balali.
Kama ni hivyo, anaweza kurudi nyumbani na kuomba visa upya na akaja tena US kumtafuta Balali.
BTW.... wewe uko marekani, je umefanya nini kumpata Balali?
Issue ya Balali ni issue ya polisi na vyombo vya usalama. Zitto ameletwa hapa na state dept ya USA kwa mambo tofauti kabisa so sidhani kama ni kazi yake kutumia muda huu kudai mambo ya Balali.
Kama ni hivyo, anaweza kurudi nyumbani na kuomba visa upya na akaja tena US kumtafuta Balali.
BTW.... wewe uko marekani, je umefanya nini kumpata Balali?
Sasa kwasabau umeshaamua kunidharau na ndio maana huja take time kusoma previous postings!
Mimi nina uwezo wa kukusanya signature za wamarekani hapa na itakuwa mshike mshike!
1)MKJJ Nauliza kwasababu ni maswali muhimu na wala si eti ni for the sake of kuuliza!
Hii naweza kuona kama ni dharau kwangu!
2)Hili la uwaziri mkuu ni ni mfano tu!
Kwanza nilishawahi kukutana na yeye akiwa na Mbowe..Tena kabla ya umaarufu huu!
Na kuwaambia kuwa kwanini Kikwete haja consider kuwashirikisha wapinzani kwenye ujenzi wa nchi provided wana nia nzuri na nchi?
Kama hakumbuki nitamkumbusha..Coz anaweza akawa amesahahu kwasababu huyu bwana kama ilivyo kwa watu wengine maarufu anakutana na watu wengi!
3)Kama hataki dezo dezo..Then kamati ya madini unaiita nini?
4)Na pia nina weza ku assume hajawahi kumsikiliza ama kama kasikilizwa na mambo yenyewe ndiyo haya then i might as well as consider kuwa si wenzetu tena hawa!
5)Kujitoa mzima mzima ni ile confidence aliyonayo kuwa he is 100% kuwa His Excellence would not let him down or facilitate his political demise!
[/QUOTE]6)Kujipindua ni kussapoti any decision that does not incorporate the arrests of the criminals like Balali and others!
Na usipopewa utafanya nini? na unataka kama nani!!Nataka majibu yote!
Nataka pia unionyeshe nilipojichanganya!
NANI ANAMCHANGANYA NANI NA SASA INAONEKANA KUWA NYIE MNAMPIGIA KIFUA KIKWETE NA ZITTO...SI NDIO WACHANGANYAJI NYIE?...AMA NDO MIMI MUULIZA MASWALI MCHANGANYIKO NINAEWACHANGANYA?
Nani mwenye kumchanganya nani?
Be specific Pls
Sina personal issue yoyote ile na Zitto!
Kwanza mimi ni shabiki wa Zitto ila nina maswali jamani na si tuanze kudharauliana na kufikiriana kivingine!
There's nuttin btn me n Mh!
Halafu ni kivipi asinuke shombo na kulikuwa na mfisadi nadani yakamati?
Na usipopewa utafanya nini? na unataka kama nani!!
Unajichanganya:
a. Unapodhani JK anaweza kumteua Zitto kumpa Uwaziri Mkuu (inaonesha hujui Katiba)
b. Unajichanganya unapodhania kuwa Zitto ana nguvu fulani serikalini, hana.
c. Unajichanganya unapotaka mazungumzo ya Rais na Mbunge yawekwe hadharani ili ujue nani alimuambia nini nani. Haiwezekani kuna vitu vinafanywa in confidence.
d. Na unajichanganya unapodhania kuwa Zitto ana la kusema rasmi kuhusu mambo ya Kamati wakati msemaji wa Kamati hiyo ni Jaji Bomani.
Sasa kwasabau umeshaamua kunidharau na ndio maana huja take time kusoma previous postings!
Mimi nina uwezo wa kukusanya signature za wamarekani hapa na itakuwa mshike mshike!