Ccm lumumba fc nilidhani ndio utafurahi ili ccm yenu itawale milele sasa kumbe unaona nongwa?
Mkuu ,Kwa mtanzania mzalendo wa kweli hawezi kufurahia upinzani kufa ,nchi itakosa check and balance
Tunawaamsha waamke sio kwamba watachukua madaraka au dola ,hapana sio lengo la andiko hili
Tunataka wawe active wasemee shida halisi za watu waache kukaa mitandaoni ambako mama ntilia hawapo, waache kukaa nyuma ya keyboard ,kufanya siasa za twitter na club house ni kwa nchi ambazo zina maisha bora sana
Watu wetu wanasaka chakula cha leo na kesho ili wale , hawapati muda wa kuingia mitandaoni
hawana hata pesa za bundle kuingia mitandaoni ,lakini ndugu zetu wao wamesimika majukwaa yao mitandaoni pekee
huku ni kukosa over sight ya matatizo halisi