Upishi wa broccoli (brokoli)

farkhina

Platinum Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
14,568
Reaction score
16,917
**********Mahitaji ***********

Brokoli kiasi

Carrot 1 kubwa

Kitunguu 1 kikubwa

Kitunguu saumu chembe 5 katakata ndogo au twanga

Nyanya (tomatoes) 2 kubwa

Pilipili mboga nusu (unaweza changanya za rangi utakazo)

Uzile (cumin)nusu kijiko cha chai

Limau 1

*******Namna ya kutaarisha *******

Steam carrot na broccoli pembeni

Katika sufuria nyengine weka mafuta kijiko 1 cha supu

Weka kitunguu na pilipili mboga kaanga kidogo alafu weka kitunguu saumu

Weka nyanya koroka kidogo Dixiecrat sana

Weka brokoli na karoti ulio steam awali

Nyanganya vizuri weka chumvi na limau

Acha ichemke dakika 3 alafu epua

Broccoli tayari kwa kuliwa
 
She's back! πŸ™‚

Asante kwa pishi farkhina

Napenda broccoli, sometimes na steam na kuweka cheese kama hivi kwa mboga, au kuchanganya na pasta.
 
Mi napenda broccoli na viazi vilivokuwa sautΓ©ed halafu nanyunyizia na dressing...hususan balsamic vinaigrette.

Sounds delicious, nimepata na recipe nyingine from this.

SautΓ©ed potatoes, broccoli, with dressing.
Ntaongezea cherry tomatoes (ziwe half cooked) and white meat (am thinking boneless chicken)

Mlo kamili.
 
farkhina kuna zile ambazo nadhani zinakaangwa kidogo tu sijui huwa wanafanyaje, sehemu ambayo huwa ninazila kila siku nasema nitawauliza lakini huwa nasahau ni tamu sana. Halafu inadaiwa hizi zinakimbiza cancer kunyemelea binadamu.
 
Heri ya mwaka mpya! πŸ™‚
 
Reactions: BAK
Kuuliza si ujinga na hiyo miti/ vishina vyake Vinaliwa?
 
farkhina kuna zile ambazo nadhani zinakaangwa kidogo tu sijui huwa wanafanyaje, sehemu ambayo huwa ninazila kila siku nasema nitawauliza lakini huwa nasahau ni tamu sana. Halafu inadaiwa hizi zinakimbiza cancer kunyemelea binadamu.

Hizo za kukaanga sijui @BAK,ni kweli inakimbiza cancer
 
Reactions: BAK
Huwa na steam tu na kuweka soy sauce basi.
Napenda sana broccoli kuliko cauliflower.

Asante kwa recipe.
 
Waweza mix na cranberries na vegetable upendayo Kama saladi
 
Ahsante sana nawe pia πŸ™‚πŸ™‚ #Hillary2016 Babu ananiudhi sana lol! πŸ™πŸ™

Acha tu, yaani babu anamshambulia Hillary mpaka naona kama vile anamsaidia Trump sasa.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…