Upishi wa broccoli (brokoli)

Upishi wa broccoli (brokoli)

Ladha yake kwa kweli ni mbayaaa dah sujui Mungu aliumbaje hizi mboga. Sometimes nachanganya na curry au mayo lakini wapi...inahitaji ubunifu sio kdg
 
Ladha yake kwa kweli ni mbayaaa dah sujui Mungu aliumbaje hizi mboga. Sometimes nachanganya na curry au mayo lakini wapi...inahitaji ubunifu sio kdg

Really? Kibinti changu kinatafuna mbichi kwenye salad mwenyewe anaita tree
 
Ladha yake kwa kweli ni mbayaaa dah sujui Mungu aliumbaje hizi mboga. Sometimes nachanganya na curry au mayo lakini wapi...inahitaji ubunifu sio kdg
Mimi jamani yamenishinda kabisa kuyapika haya, ila nakula tu nikienda China Buffet wanayajulia kuyapika.
 
Really? Kibinti changu kinatafuta mbichi kwenye salad mwenyewe anaita tree
Huw naziponda ponda mix na avocado then namake sandwitch at least vinalika kwa mtoto. Sijui ni broco spp gani, but hizi zenye green canopy daah ni shida
 
Bora umerudi recipe zako huwa haziniangushi. Barikiwa mpendwa, nyumbani walimiss vitu vipya vipya
 
Back
Top Bottom