Upishi wa Wali, Samaki wa Nazi na Mboga

Upishi wa Wali, Samaki wa Nazi na Mboga

All in all chakula kinaonyesha ni kitamu, usafi umezingatiwa...
Binafsi ni mpenzi wa kupikia nazi, hapo umenifikisha.. hongera
Ahsante sana. Na wewe siku moja utushirikishe mapishi yako hapa jukwaani sababu nina hamu ya kuona chakula chako.
 
Ahsante sana. Na wewe siku moja utushirikishe mapishi yako hapa jukwaani sababu nina hamu ya kuona chakula chako.
Sawa usijali, nitaleta mapishi yangu pia hapa. Pamoja Mkuu 🤝
 
Mkuu umepika vizur lkn umefel kupakua jifunze kupakua,otherwise umeandaa chakula katika mazingira masafi
 
Back
Top Bottom