Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Ahsante sana. Na wewe siku moja utushirikishe mapishi yako hapa jukwaani sababu nina hamu ya kuona chakula chako.All in all chakula kinaonyesha ni kitamu, usafi umezingatiwa...
Binafsi ni mpenzi wa kupikia nazi, hapo umenifikisha.. hongera
Sawa usijali, nitaleta mapishi yangu pia hapa. Pamoja Mkuu 🤝Ahsante sana. Na wewe siku moja utushirikishe mapishi yako hapa jukwaani sababu nina hamu ya kuona chakula chako.
Ugali+kisamvu+dagaa+maharagwe (nazi imehusika kwenye mboga)Ulikula chakula gani?
Asante mkuu simu mojamoja sio mbayaAisee umekula vizuri na chalula chako ni balanced diet.