Upo kundi gani?

Upo kundi gani?

holy holm

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2017
Posts
4,793
Reaction score
9,101
Kuna aina tatu za watu:
1. Wasiochukua ushauri kwa mtu yoyote.

2. Wanao chukua ushauri kwa kila mtu

3. Wenye watu wao maalumu wanao waamini linapokuja swala la kutaka ushauri.

Je wewe upo kundi gani kati ya hao?
 
Asante kwa hoja nzuri.

Nipo katika kundi la wasioangalia mtu anayetoa ushauri, bali huangalia ushauri wenyewe, kuupima na kuuchekecha, niukubali au niukatae kwa mantiki za uzuri au ubaya wake bila kujali sana aliyetoa ushauri.

Kwa maana unaweza kupata ushauri mzuri kutoka kwa mtu dhalili, na unaweza kupata ushauri mbaya kutoka mtu jalili.

Hata saa mbovu iliyosimama inakuwa sahihi mara angalau moja kwa siku.

Hata kichaa anaweza kusema kitu muhimu.

Waswahili walisema "Akwitao usiize, enenda kapulikize. "

Hapana. Kupulizika si kuvuta ulichofikiria.Ni Kiswahili tu.

Nilishawahi kufikiri ingekuwa vipi kama hapa JF watu wote tungekuwa na jina moja halafu tusome kilichoandikwa tu bila kukilinganisha na aliyekiandika.

Kwa upande mmoja ingekuwa vizuri kwa maana ya kwamba tungeangalia dhana tu, badala ya kuangalia watu.

Kwa upandemwingine, kujibizana ingekuwa vigumu zaidi.
 
Asante kwa hoja nzuri.

Nipo katika kundi la wasioangalia mtu anayetoa ushauri, bali huangalia ushauri wenyewe, kuupima na kuuchekecha, niukubali au niukatae kwa mantiki za uzuri au ubaya wake bila kujali sana aliyetoa ushauri..

Kwa maana unaweza kupata ushauri mzuri kutoka kwa mtu dhalili, na unaweza kupata ushauri mbaya kutoka mtu jalili.

Hata saa mbovu iliyosimamainakuwa sahihi mara angalaumoja kwa siku.

Hata kichaa anaweza kusema kitumuhimu.

Waswahili walisema "Akwitao usiize, enenda kapulikize. "

Hapana. Kupulizika si kuvuta ulichofikiria.Ni Kiswahili tu.

Nilishawahi kufikiri ingekuwa vipi kama hapa JF watu wote tungekuwa na jina mojahalafu tusome kilichoandikwa tubilakukilinganisha na aliyekiandika.

Kwa upande mmoja ingekuwa vizuri kwa maana ya kwamba tungeangalia dhana tu, badala ya kuangalia watu.

Kwa upandemwingine, kujibizana ingekuwa vigumu zaidi.
asante kwa hoja yako nzuri
 
wengi watakuwa kundi namba 3, lakini mimi nina mix mchanganyiko wote wa 1 2 na 3
 
Back
Top Bottom