Mr DIY
JF-Expert Member
- Dec 24, 2016
- 1,188
- 2,553
Wasalimie panganiUshongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasalimie panganiUshongo
Siza ndiyo wapi Au ni Sinza?Siza dar
itakuwa maana keyboard inapotaka kukuzidi akili hakuna namnaSiza ndiyo wapi Au ni Sinza?
Ulikuwa gym mkuu?Nimetekwa hata sijui hapa ni wapi
Tena nimezungukwa na ma baunsaUlikuwa gym mkuu?
umezungukwa na mabaunsa! angalia usalama wako wa rinda vizuri awachelewi haoTena nimezungukwa na ma baunsa
utakuwa unanukia karafuu tu wewe! hahaWete,pemba.
haha, dada wa kwamtogole nina mashaka na wewe! haupo kwenye nchi za watu kweli unatema yai tu!Kwamtogole, Dar
namyamba ndo wapi uko?Namnyamba
Mkuu nitakuja kukuona kama upo Pemba maana nina mpango wa kuja kutembelea familia yangu.
Ndio Ntwara hukonamyamba ndo wapi uko?
😀😀😀😀HAHAHAAAAAAAA WABONGO BHANA WOOTE HAWAPO MJINI KISA WANAOGOPA KUTEMBELEWA 😀😀😀😀😀😀😀😀
utakuwa unanukia karafuu tu wewe! haha