Hii kitu ipo na Sisi wanaume
Mambo mengi kichwani unawaza wa kwambia mbanga zako lakini unaona huwenda yeye akawa anapanga nzito kuliko wewe.
Mmkaa meza moja mnakunywa nyagi wanaongea Kwa furaha lakini wewe unajitahidi uwe pamoja nao kiakili lakini daah Moyo na akili vinakataa unajilazimisha akili ikae sawa.
Jambo moja katika hii game ya life hakuna kukataa Tamaa hata kama unapitia magumu Gani.
Maisha ni yako na wewe ndio umebeba mzigo kwenye mabega yako.
Mbalamwezi hauwezi angaza saa kumi alfajiri by the way nimemiss kuona mbalamwezi mix kagiza ka saa tatu usiku mpk kumi asubuhi na upepo uleee wa shwaaaaaah..... Ghafla uuuuuuuuh huku mbwa wakibweka cc min -me