Hats sipendezei....ndio nani huyoNyau wa Mello wewe.
Leo hatulali?nimeharibu nini
Za kupotea?huw inatokea sana tu ""...
Hiyo kelewii ndio kibantu?[emoji12] [emoji12]kelewii
Extra Tsubiri mpira uishe...dk za hatari hizi
Ngoja tuone mpira kwanza mama nikirudi tutaendelea.Hats sipendezei....ndio nani huyo
Halafu anajidai hajui kaharibu vipi?Namshangaa kanifananisha
hii game leo asee aah!Extra T
Ennheee!ndivyo ilivyonaona aseeh
Nimesahau kumbe ni kile kipindi napaswa kukaa kimya?Ngoja tuone mpira kwanza mama nikirudi tutaendelea.
Yaani huyu jamaa atakuwa yupo barHalafu anajidai hajui kaharibu vipi?
Siikaniize uwe ni dadawaneSaa eye utiko nikitunda mundele
za masiku njema madame "" ...za wewe ""'!?Za kupotea?
Mi nikikosa nyuzi hua nafufua makaburiHili sijui linanikuta mwenyewe. Naingia JF nami niperuziperuzi yanayojiri sipati kauzi ka kujifichia.
nimeamua kuanzisha nami niwakusanye ila msinipite.
Yah kaa kimya kwanza naumia huku kende kwa mashambulizi.Nimesahau kumbe ni kile kipindi napaswa kukaa kimya?
Poa poa mdogo wangu...za masiku njema madame "" ...za wewe ""'!?