Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,725
- 21,818
Kumbe sisi maadui...basi acha nilale...sawa, croatia akinifurahisha utafurahi zaidi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe sisi maadui...basi acha nilale...sawa, croatia akinifurahisha utafurahi zaidi..
Ila usijinyime sana usingizi....acha mwili ukuongozeYaani siku hizi sijui nimepatwa na nini ikifika saa nne na nusu tuu hali mbaya siwezi kufanya chochote ni kusinzia tuu, ila week hii nimejitahidi nafika japo saa sita
hiyo lugha ni ya wagosi au ni mm ndio nimeshindwa kuitofautisha!Kwanini? [emoji4] [emoji4]
Mekumithiii shem student
hahaha kumbe na ww ni binti wa malkia, haya lala mama...Kumbe sisi maadui...basi acha nilale...
Soongelah tukiona mudaoNundue ugone ni matiliga makishekulu
hahaaa aiseee""Poa poa mdogo wangu...
Hata hivyo unaniongoza kwasasa maana nilikuwa mkeshaji mzuri sana Sasahivi siwezi kabisa mambo yanabadilikaIla usijinyime sana usingizi....acha mwili ukuongoze
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]hahaha kumbe na ww ni binti wa malkia, haya lala mama...
Wakati kuna mtu nyuma yako! !Nimewahi mberee
Hapana hiyo lugha siyo ya Tanga,hiyo lugha ni ya wagosi au ni mm ndio nimeshindwa kuitofautisha!
NimekuMiss zaidi...nilipatafununu kuhusu ndugu yangu Iceman 3D ila sitaki kuziamini....umemficha wapi kwanza?
Kila la kheriHata hivyo unaniongoza kwasasa maana nilikuwa mkeshaji mzuri sana Sasahivi siwezi kabisa mambo yanabadilika
ngoja kwanza madam...Hapana hiyo lugha siyo ya Tanga,
Fununu gani tena hizo? Embu nidokeze kidogo
Yaani....kuanzia Avatar mpaka mwandiko...huwa najikuta nacheka mwenyeweOnasasa, nilikua najitahidi kuchamba hadi nikashika mavi.....[emoji20] [emoji20] [emoji20]
Tatizo nilijifanya kubaka thread ya vijana, kama mgumba anaejaza mate kwa mtaa.... kisa kapata ujauzito[emoji12] [emoji12] [emoji12]Yaani....kuanzia Avatar mpaka mwandiko...huwa najikuta nacheka mwenyewe
Hakuna cha ujana wowote...Tatizo nilijifanya kubaka thread ya vijana, kama mgumba anaejaza mate kwa mtaa.... kisa kapata ujauzito[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Naomba nijitoe ufahamu kwako mkuu, maana naona dalili zote za mbuzi kufia kwa muuza supu...[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Hakuna cha ujana wowote...
Unajitoa ufahamu tu...unapita