Upo online lakini unatafuta uzi wa kuchangia haupati?

Kwanini? [emoji4] [emoji4]

Mekumithiii shem student
hiyo lugha ni ya wagosi au ni mm ndio nimeshindwa kuitofautisha!

NimekuMiss zaidi...nilipatafununu kuhusu ndugu yangu Iceman 3D ila sitaki kuziamini....umemficha wapi kwanza?
 
hiyo lugha ni ya wagosi au ni mm ndio nimeshindwa kuitofautisha!

NimekuMiss zaidi...nilipatafununu kuhusu ndugu yangu Iceman 3D ila sitaki kuziamini....umemficha wapi kwanza?
Hapana hiyo lugha siyo ya Tanga,

Fununu gani tena hizo? Embu nidokeze kidogo
 
Mm hii inanikutaga sana. Kuna watu kama nikiwakosa online nskosa cha kuchangia
 
Onasasa, nilikua najitahidi kuchamba hadi nikashika mavi.....[emoji20] [emoji20] [emoji20]
 
Yaani....kuanzia Avatar mpaka mwandiko...huwa najikuta nacheka mwenyewe
Tatizo nilijifanya kubaka thread ya vijana, kama mgumba anaejaza mate kwa mtaa.... kisa kapata ujauzito[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Tatizo nilijifanya kubaka thread ya vijana, kama mgumba anaejaza mate kwa mtaa.... kisa kapata ujauzito[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hakuna cha ujana wowote...
Unajitoa ufahamu tu...unapita
 
Hakuna cha ujana wowote...
Unajitoa ufahamu tu...unapita
Naomba nijitoe ufahamu kwako mkuu, maana naona dalili zote za mbuzi kufia kwa muuza supu...[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hii ni Ugonjwa wangu wa kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…