Upo online lakini unatafuta uzi wa kuchangia haupati?

Nina machungu hapa, usinichekeshe bwana.
Pole comrade...
Usisahau humu Jf hapajawahi kuwaangusha wenye machungu kama wewe.
Nilishagasema, sitaki machungu tena hakika....
 
Pole comrade...
Usisahau humu Jf hapajawahi kuwaangusha wenye machungu kama wewe.
Nilishagasema, sitaki machungu tena hakika....
Nitapoa, nikiamka asubuhi...acha nijiliwaze mwenyewe.
 
Nitapoa, nikiamka asubuhi...acha nijiliwaze mwenyewe.
Fanya ukuje huku wallah....
Inauma sana vijana wanapokuacha mtoto zuri kama wewe ukijiliwaza kwa blanket na kumbatio la ngumi umekunja...[emoji20] [emoji20]
Inasikitisha sana vijana wa leo yenu hawajui hata kuzoza, then wanasubiri huruma zenu kwa kuweka mabandiko ya Avatar zenye kuvutia kama Daby ...... tehteehhh
 
Naombeni likes za kutosha wale mnaonipenda maana siku nikiandika uzi ukakosa comment huwa najisikia kuumwa haya gonga like niendelee kushusha madini hata kama ni upupu comment hata tusi mm nakula comment zenu
Mimi sikupendi ng'o
 
Mshana hajambo,au ndio ndoa ndoano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…