Upo uwezekano Uhuru akaingia na kushinda.

Naongelea tuzo nono ya Mo Ibrahim.

Kama unadhani yupo rais mwingine anakidhi vigezo tufahamishane tafadhali.
Itakuwa ajabu kwani uhuru na ruto wana kamzigo fulani wamebeba na kuhifadhi kule Uholanzi. Labda kama kamati ya Mo itakuwa imesinzia.
 
Itakuwa ajabu kwani uhuru na ruto wana kamzigo fulani wamebeba na kuhifadhi kule Uholanzi. Labda kama kamati ya Mo itakuwa imesinzia.
Ok.
Uhuru alikanusha kuhusika, naamini hata sasa anathibitisha kupitia speech zake zote.
 
Naongelea tuzo nono ya Mo Ibrahim.

Kama unadhani yupo rais mwingine anakidhi vigezo tufahamishane tafadhali.
Acha mambo ya REDET, mkuu! kama kuna uhakika mkubwa kiasi hicho kusingekuwa na sababu ya kuchota kura kwa kutumia IT.

That is Kenya. Kabila mbele kwanza. Siyo suti, kujulikana wala sera.
 
Acha mambo ya REDET, mkuu! kama kuna uhakika mkubwa kiasi hicho kusingekuwa na sababu ya kuchota kura kwa kutumia IT.

That is Kenya. Kabila mbele kwanza. Siyo suti, kujulikana wala sera.
Mshindi lazima apatikane.
 
Yes Uhuru anashinda tena ..ndo maana ameridhia..kwaviongoz waafrika asingeruhusu hali hii itokee km anajua atashindwa
 
Ok.
Uhuru alikanusha kuhusika, naamini hata sasa anathibitisha kupitia speech zake zote.
Hata ingekuwa mimi ningekanusha!! Kesi ilifutwa baada kwa mashahidi "kukauka".

NI kenya ya mauaji wakuu. Mashahidi leo hii wasingekuwa hai kama ulivyosikia waliokwisha ondoka ktk uchanguzi huu.
 
Yes Uhuru anashinda tena ..ndo maana ameridhia..kwaviongoz waafrika asingeruhusu hali hii itokee km anajua atashindwa
Mbona kumbukumbu haipo jamani! Uhuru alishafanya hivyo hata zamani, aliposhindwa uchaguzi akiwa KANU, baada ya kukabidhiwa na Moi. Alisema kwa urahisi kabisa kwamba anakubali, pia kinyume cha vyama tawala vingine!
 
Twaweza na REDET watupe mwelekeo. Kwa hali ya utulivu wa Kenyatta naona bado atashinda , itakuwa 54% kwa 43% na 3%
 
Acha mambo ya REDET, mkuu! kama kuna uhakika mkubwa kiasi hicho kusingekuwa na sababu ya kuchota kura kwa kutumia IT.

That is Kenya. Kabila mbele kwanza. Siyo suti, kujulikana wala sera.
hii haijathibitihwa kama kura waliimba...
 
Tatizo mnaishia kusoma posting za JF tu. Unaijua NewAfrican Magazine, Newsweek, the Economist?
Kwa wanaofahamu kwa undani siasa za Kenya hasa kuanzia kina Jomo Kenyatta,Jaramogi Oginga Oginga na kina Daniel Toroitich Arap Moi,hatauliza kama Uhuru atashinda tena uchaguzi hata ukirudiwa kesho.
Ukabibila unachukua sehemu kubwa kwa siasa za Kenya.Na ndio maana watu wa kabila kubwa nchini Kenya la wakikuyu,wakiungwa mkono na makabila ambayo bado wanashikilia mila hasa upande wa tohara kwa wanaume kama wamaasai,wakalenjin,wasamburu n.k hawaamini kuongozwa na mtu wanae mwita 'kehe'!Huyu ni mtu ambaye hajapitia jando!Hili linaweza kuonekana kuwa ni dogo,lkn kwa wanaofahamu undani wa hili wanajua ukweli!Hivyo Uhuru atachukua tu kwa mara nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…