Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa ajabu kwani uhuru na ruto wana kamzigo fulani wamebeba na kuhifadhi kule Uholanzi. Labda kama kamati ya Mo itakuwa imesinzia.Naongelea tuzo nono ya Mo Ibrahim.
Kama unadhani yupo rais mwingine anakidhi vigezo tufahamishane tafadhali.
Hata ingekuwa mimi ningekanusha!! Kesi ilifutwa baada kwa mashahidi "kukauka".Ok.
Uhuru alikanusha kuhusika, naamini hata sasa anathibitisha kupitia speech zake zote.
Alihonga na kutisha mashahidi wote wakajitoa. Hamna zaidi ya hapo. Mafia huyoOk.
Uhuru alikanusha kuhusika, naamini hata sasa anathibitisha kupitia speech zake zote.
Acha mambo ya REDET, mkuu! kama kuna uhakika mkubwa kiasi hicho kusingekuwa na sababu ya kuchota kura kwa kutumia IT.Naongelea tuzo nono ya Mo Ibrahim.
Kama unadhani yupo rais mwingine anakidhi vigezo tufahamishane tafadhali.
Ok.
Uhuru alikanusha kuhusika, naamini hata sasa anathibitisha kupitia speech zake zote.
Hata ingekuwa mimi ningekanusha!! Kesi ilifutwa baada kwa mashahidi "kukauka".
Mbona kumbukumbu haipo jamani! Uhuru alishafanya hivyo hata zamani, aliposhindwa uchaguzi akiwa KANU, baada ya kukabidhiwa na Moi. Alisema kwa urahisi kabisa kwamba anakubali, pia kinyume cha vyama tawala vingine!Yes Uhuru anashinda tena ..ndo maana ameridhia..kwaviongoz waafrika asingeruhusu hali hii itokee km anajua atashindwa
Uko na ushahidi ama huu ni umbea wa wakosa kazi?Alihonga na kutisha mashahidi wote wakajitoa. Hamna zaidi ya hapo. Mafia huyo
Tatizo mnaishia kusoma posting za JF tu. Unaijua NewAfrican Magazine, Newsweek, the Economist?Uko na ushahidi ama huu ni umbea wa wakosa kazi?
hii haijathibitihwa kama kura waliimba...Acha mambo ya REDET, mkuu! kama kuna uhakika mkubwa kiasi hicho kusingekuwa na sababu ya kuchota kura kwa kutumia IT.
That is Kenya. Kabila mbele kwanza. Siyo suti, kujulikana wala sera.
Kwa wanaofahamu kwa undani siasa za Kenya hasa kuanzia kina Jomo Kenyatta,Jaramogi Oginga Oginga na kina Daniel Toroitich Arap Moi,hatauliza kama Uhuru atashinda tena uchaguzi hata ukirudiwa kesho.Tatizo mnaishia kusoma posting za JF tu. Unaijua NewAfrican Magazine, Newsweek, the Economist?
Soma maelezo ya uchunguzi wa server ya tume ya uchaguzihii haijathibitihwa kama kura waliimba...