mtanzania1989
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 4,068
- 6,758
Mpaka sasa raia zaidi ya 25 wa Kenya wameuliwa kwa risasi za polisi ndani ya hizi week 4, hapo bado hujaweka high profile case kama za kina Msando na Nkaisery, endelea kuota ndoto za mchana bila shaka wewe ni raia wa TANAPA.