Upo vizuri kwenye kitu gani hasa?

Eneo la Elimu basi na shaka niko vizuri ila bado naendelea kunoa shoka zaidi .

Public speaking hapo nadhani nilizaliwa toka tumboni maana jinsi idadi ya watu inavyokuwa kubwa ndio naona kama namsukuma mlevi vile .

Kutabasamu nadhani ni Pro Max maana Arusha napata tabu yani watu kutabasamu wanashangaa sana.

Ngumi nilishwahi jifunza ndondi pia nafundisha ndondi kwa begginers

Kazi iendelee
 

When you have that skill....
You’ll know when, where and what to speak.
 
Mimi ni multtask kama computer vile
 
Hauko peke yako, 😂 mimi mpaka niliambiwa nawaringishia meno eti. Mimi nakenua jamani uwiii, siwezi kukusalimia bila kutabasamu
Yani ningekuwa wa kike huenda wangesema labda nina chekelea .

Tabasamu ni dawa
Let smile .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…