Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,165
- 16,791
[emoji125] [emoji125] [emoji125] siku hizi nikisikia hilo jina huwa nafanya hiviNdio laifu lenyewe sio sku zote sura JPM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] siku hizi nikisikia hilo jina huwa nafanya hiviNdio laifu lenyewe sio sku zote sura JPM
Njoo nje hapa kwa baba ChanjaMasai kinondoni
Hivi hua unapendelee majukwaa gani jooh au naww mwana siasa[emoji125] [emoji125] [emoji125] siku hizi nikisikia hilo jina huwa nafanya hivi
hakuna jukwaa nisiloingia except GT ni la dini plus lile la premium kama sijakosea ila nachangia habari inayonivutia ila kuna mengine napita hata wiki mwezi sijayagusaHivi hua unapendelee majukwaa gani jooh au naww mwana siasa
Ohooo mm kuna mengine mengi sana ambayo sijawahi kuweka mwandiki wangu eg sheria. Yale English ndio sijui hara wanaongelea nnhakuna jukwaa nisiloingia except GT ni la dini plus lile la premium kama sijakosea ila nachangia habari inayonivutia ila kuna mengine napita hata wiki mwezi sijayagusa
hahahaha halafu kuna yale ki east africa pia nayapotezeaga tatizo kikristo kingi halafu dzain kama yamedorora hiviOhooo mm kuna mengine mengi sana ambayo sijawahi kuweka mwandiki wangu eg sheria. Yale English ndio sijui hara wanaongelea nn
Pacha wewe ni mwislam eehhahahaha halafu kuna yale ki east africa pia nayapotezeaga tatizo kikristo kingi halafu dzain kama yamedorora hivi
views 1345 comments 2
mpagani pachaPacha wewe ni mwislam eeh
Ok mm mwenyeewe sina dini ka kambuzi tumpagani pacha
Jmos naenda nyakanaziKaribuni chato wakuu