Upo zako club...

Upo zako club...

Unakuta jamaa na dem ake wanacheza pamoja afu mdogo wa jamaa wa kike hana mtu na akiwa na mtu akimbambia jamaa anamaindi et mdogo ake anajifunza uhuni

Hii tabia mbaya sna kwnye club
 
This z fun....Hahahaaa kweli acha maneno weka mziki.
 
Back
Top Bottom