Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa shida yako ni nini? Kwamba akiwa mpinzani siyo Mtanzania au hawezi kuikosoa serikali?Mpinzani huyo.
Umeropoka Sasa Hayo aongelee Nini?? Wakati maaskofu Wapo halafu Ni jinai za Watu binafsi. Kuwa na Akili1. Padri Elipidius Rwegoshora wa Bukoba kashiriki kumuua Albino, Padri Charles Kitima hajamuona ila anaona Wamasai Ngorongoro.
2. Padri Bunda anaibia masista wa raia wa Kihispania kwenda kufungua baa na kamari, ila Padri Charles Kitima haoni kukemea anaona Wamasai Ngorongoro.
3. Padri Stanslaus Sala wa Jimbo la Moshi kalawiti hujamuona ila unaona nchi imekuwa mbaya kuishi.
Huu upofu wako mtumishi wa kanisa ni wa asili, wa ukubwani au wa kuamua au wa kulipiwa? 🤔
Instanbul ni kweli kabisa tatizo lililopo ni ushabiki badala ya kuchambua au kujibu hoja. Kama tungekuwa tunachambua na kujibu hoja tungejua ni kwa kiasi gani mambo aliyoongea Kitima yana uzito gani na manufaa gani. Tujifunze kuwa wachambuzi na siyo mashabiki.Jibu hoja zake kwanza. Hayo mambo mengine Kanisa katoliki lina namna ya kuyasolve ndani ya majimbo yao.
Huyu ni katibu wa baraza maaskofu anawakilisha maaskofu Taifa.
Hayo ya mapadre individual ni ya maaskofu wa majimbo husika na wanajua jinsi ya kuyasolve.
Kanisa ni moja takatifu katoliki na mitumee
Jibu hoja zake kwanza. Hayo mambo mengine Kanisa katoliki lina namna ya kuyasolve ndani ya majimbo yao.
Huyu ni katibu wa baraza maaskofu anawakilisha maaskofu Taifa.
Hayo ya mapadre individual ni ya maaskofu wa majimbo husika na wanajua jinsi ya kuyasolve.
Kanisa ni moja takatifu katoliki na mitumee
Aibu sanaNaona uchawa unazidi kuwa ni adui mkubwa wa maendeleo nchini
Eti unakutana na machawa wanataka kujibizana na kitimaHongera sana Baraza la Maaskofu Katoliki Tz
Hongera sana REV Kitima
Uovu umeshindwa kwa jina la Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo.
Sadaka kanisa katoliki parokia ngorongoro zimepungua baada ya masai kuhamishwa
Lazima apige yowe
Ina maana hao waliobaki wakiondoka makanisa katoliki yanatakiwa kufungwa ngorongoro
Conflict of interest
Vipi mkuu anayokemea anakosea au yuko sahihi.1. Padri Elipidius Rwegoshora wa Bukoba kashiriki kumuua Albino, Padri Charles Kitima hajamuona ila anaona Wamasai Ngorongoro.
2. Padri Bunda anaibia masista wa raia wa Kihispania kwenda kufungua baa na kamari, ila Padri Charles Kitima haoni kukemea anaona Wamasai Ngorongoro.
3. Padri Stanslaus Sala wa Jimbo la Moshi kalawiti hujamuona ila unaona nchi imekuwa mbaya kuishi.
Huu upofu wako mtumishi wa kanisa ni wa asili, wa ukubwani au wa kuamua au wa kulipiwa? 🤔
View attachment 3074699
Kwahiyo wakiondoka Ngorongoro Wamasai wanabadilisha dini? Kwani huko wanapohamia hapawezi kujengwa makanisa na sadaka zikaendelea kuchangwa?Sadaka kanisa katoliki parokia ngorongoro zimepungua baada ya masai kuhamishwa
Lazima apige yowe
Ina maana hao waliobaki wakiondoka makanisa katoliki yanatakiwa kufungwa ngorongoro
Conflict of interest
Hivi wamasai wanaenda kanisani au mskitini?ushawaona hospital....ushawaona parokia yako tuonge ukweli?Waislamu ngorongoro masai wapo ila sababu huwa wauslamu hawakusany9 sadaka misikitini ndio maana hujaskia Mufti akiongea .Katoliki waathirika wa sadaka nfio wanaongea
Kuna mtu kasoma mpaka eti ana phd, kageuza binocular nyuma mbele hukoo 😇😇😇🤣🤣🤣Si watahamia sehemu nyingine, kwani wakihama Ngorongoro wanakoma kuwa wakatoliki?
Mbona hoja yako ni ya kijinga sana? Una miaka mingapi na umesoma mpaka la ngapi?
Acha ukuda basi wewe!1. Padri Elipidius Rwegoshora wa Bukoba kashiriki kumuua Albino, Padri Charles Kitima hajamuona ila anaona Wamasai Ngorongoro.
2. Padri Bunda anaibia masista wa raia wa Kihispania kwenda kufungua baa na kamari, ila Padri Charles Kitima haoni kukemea anaona Wamasai Ngorongoro.
3. Padri Stanslaus Sala wa Jimbo la Moshi kalawiti hujamuona ila unaona nchi imekuwa mbaya kuishi.
Huu upofu wako mtumishi wa kanisa ni wa asili, wa ukubwani au wa kuamua au wa kulipiwa? 🤔
View attachment 3074699
Sikujua kuwa wamasai wote ni KatolikiSadaka kanisa katoliki parokia ngorongoro zimepungua baada ya masai kuhamishwa
Lazima apige yowe
Ina maana hao waliobaki wakiondoka makanisa katoliki yanatakiwa kufungwa ngorongoro
Conflict of interest
Duh kweli kichaa anachekesha kama sio ndg yako wa damu. Hivi kuna binadamu mwenye akili timamu anaweza kushabikia raia wengine kuhamishwa, kunyimwa huduma za msingi katika maeneo yao. Au kwa vile wewe sio Mmasai na huna ndugu huko na wala huna sense ya ubinadamu ndani yako.1. Padri Elipidius Rwegoshora wa Bukoba kashiriki kumuua Albino, Padri Charles Kitima hajamuona ila anaona Wamasai Ngorongoro.
2. Padri Bunda anaibia masista wa raia wa Kihispania kwenda kufungua baa na kamari, ila Padri Charles Kitima haoni kukemea anaona Wamasai Ngorongoro.
3. Padri Stanslaus Sala wa Jimbo la Moshi kalawiti hujamuona ila unaona nchi imekuwa mbaya kuishi.
Huu upofu wako mtumishi wa kanisa ni wa asili, wa ukubwani au wa kuamua au wa kulipiwa? 🤔
View attachment 3074699
Mbona unatumia nguvu bila sababu. Kitima hajaongea Wamasai kwamba ni Wakatoliki bali anaongelea haki zao ziheshimiwe. Sasa hayo mapovu ya nini. Pitia tena hoja zake alafu jipime na hicho unachotolea povu. Tuchambue hoja siyo kutanguliza ushabiki.Si watahamia sehemu nyingine, kwani wakihama Ngorongoro wanakoma kuwa wakatoliki?
Mbona hoja yako ni ya kijinga sana? Una miaka mingapi na umesoma mpaka la ngapi?
Unajuaje kuwa hajaona unachpaswa ni ku atack hoja zake kamaczina maana au hazina maana ila si kumshambulia yeye kama yeye1. Padri Elipidius Rwegoshora wa Bukoba kashiriki kumuua Albino, Padri Charles Kitima hajamuona ila anaona Wamasai Ngorongoro.
2. Padri Bunda anaibia masista wa raia wa Kihispania kwenda kufungua baa na kamari, ila Padri Charles Kitima haoni kukemea anaona Wamasai Ngorongoro.
3. Padri Stanslaus Sala wa Jimbo la Moshi kalawiti hujamuona ila unaona nchi imekuwa mbaya kuishi.
Huu upofu wako mtumishi wa kanisa ni wa asili, wa ukubwani au wa kuamua au wa kulipiwa? 🤔
View attachment 3074699
Mbona unatumia nguvu bila sababu. Kitima hajaongea Wamasai kwamba ni Wakatoliki bali anaongelea haki zao ziheshimiwe. Sasa hayo mapovu ya nini. Pitia tena hoja zake alafu jipime na hicho unachotolea povu. Tuchambue hoja siyo kutanguliza ushabiki.