Upofu wangu hapo kale kuhusu baadhi ya mambo

Upofu wangu hapo kale kuhusu baadhi ya mambo

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habar hapo juu

Kuna vitu hapo kitambo vilikua vinanisumbua sana had baadaye nilipokuja kukua na kuvijua nilijishangaa sana kwakwel

Upofu wangu wa kwanza
NILIKUWA NA MPANGO WA KUJA KUOA SISTER WA KANISA KATOLIK yaan ndoto zangu zote hapo kitambo ilikuwa ni kuoa watawa wa kanisa nilikuwa navutiwa sana na mavaz yao hasa uvaaji wao wa kufunga vitambaa vyeupe kichwani. Kumbe masikn wa mungu hawa watu huwa hawaolewi wala hawazai

NILIKUWA NAJUA WALIMU HUWA HAWAEND CHOON huu nao ulikuwa ni upofu wangu mwingine katika mawazo yang yote nilikuwa najua walimu huwa hawanyi kabisa wala huwa hawaend choon hadi hapo baadae nilipokuja kujua nikabaki najishaangaa mwenyewe

NILIKUWA NAJUA UNAWEZA KUAZIMA MKE WA MTU KAMA UNAVYOAZIMA CHUMVI KWA JIRAN NA KWENDA KULALA NAYE. hapa ndo lilikuwepo tatizo kubwa sana yaan kuna mama mmoja alikuwa ameolewa na alikuwa ni mweupe sana hivo nilikuwa namuomba mungu nikue haraka ili nije niwe namwazima kwa mume wake nakwenda kulala naye yaan kupiga naye mbonji na kumuhondomola japo kwa week then namurudisha ..

Kumbe nilikuwa mpofu sana jaman ndugu zangu

Mungu anisamehe bure kwa kuwaza mambo ya kufuru kama hayo hapo zaman

Nawasilisha

Nawe waweza weka upofu wako hapa kale ukiwa mtoto

TUKUTANE HAPO IJUMAA KWENYE SHOW LA KIBABE LA BEIRA BABY BOY SHOW NIGGA

LONDON BABY
 
Ais ee nilikuwa sijui watoto wanatokea wapi,nakumbuka mdogo wangu wa mwisho alipozaliwa namuuliza,mama huyu mtoto umemtoa wapi,akaniambia nimemtoa mtoni mwanangu.hahahaha. Those days
 
Ais ee nilikuwa sijui watoto wanatokea wapi,nakumbuka mdogo wangu wa mwisho alipozaliwa namuuliza,mama huyu mtoto umemtoa wapi,akaniambia nimemtoa mtoni mwanangu.hahahaha. Those days
Hahahahaaaa wewe ndo ulikuwa mpofu afadhali ya mimi
 
Mi nilikua najua wale watumishi wa altare kwa wakatoliki ni watoto wa padre,,,

Nilikua najua askari na wajeshi ni maroboti tu hawalii wala hawacheki

Nilikua najua hadi walimu wa shule ya msingi wamesoma mpaka chuo kikuu
 
Mi nlikua naamini watu wanene hawali chakula mana nlidhani miili yao mda wote ndani imejaa chakula na wameshiba
Ila saizi naamini tofauti kidogo mana kuna wanene nmekutana nao wanakula balaa .saiz naamini wanene hula sana
 
Zamani nilikuwa unaweza kupanda samaki kwenye bustani kama unavyopanda mchicha kumbe co
 
Mi nilikua najua wale watumishi wa altare kwa wakatoliki ni watoto wa padre,,,

Nilikua najua askari na wajeshi ni maroboti tu hawalii wala hawacheki

Nilikua najua hadi walimu wa shule ya msingi wamesoma mpaka chuo kikuu
Duh kweli upofu hauna mjanja
 
Mi nlikua naamini watu wanene hawali chakula mana nlidhani miili yao mda wote ndani imejaa chakula na wameshiba
Ila saizi naamini tofauti kidogo mana kuna wanene nmekutana nao wanakula balaa .saiz naamini wanene hula sana
Hakuna watu wanaofukia msosi kama wanene
 
Back
Top Bottom