Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habar hapo juu
Kuna vitu hapo kitambo vilikua vinanisumbua sana had baadaye nilipokuja kukua na kuvijua nilijishangaa sana kwakwel
Upofu wangu wa kwanza
NILIKUWA NA MPANGO WA KUJA KUOA SISTER WA KANISA KATOLIK yaan ndoto zangu zote hapo kitambo ilikuwa ni kuoa watawa wa kanisa nilikuwa navutiwa sana na mavaz yao hasa uvaaji wao wa kufunga vitambaa vyeupe kichwani. Kumbe masikn wa mungu hawa watu huwa hawaolewi wala hawazai
NILIKUWA NAJUA WALIMU HUWA HAWAEND CHOON huu nao ulikuwa ni upofu wangu mwingine katika mawazo yang yote nilikuwa najua walimu huwa hawanyi kabisa wala huwa hawaend choon hadi hapo baadae nilipokuja kujua nikabaki najishaangaa mwenyewe
NILIKUWA NAJUA UNAWEZA KUAZIMA MKE WA MTU KAMA UNAVYOAZIMA CHUMVI KWA JIRAN NA KWENDA KULALA NAYE. hapa ndo lilikuwepo tatizo kubwa sana yaan kuna mama mmoja alikuwa ameolewa na alikuwa ni mweupe sana hivo nilikuwa namuomba mungu nikue haraka ili nije niwe namwazima kwa mume wake nakwenda kulala naye yaan kupiga naye mbonji na kumuhondomola japo kwa week then namurudisha ..
Kumbe nilikuwa mpofu sana jaman ndugu zangu
Mungu anisamehe bure kwa kuwaza mambo ya kufuru kama hayo hapo zaman
Nawasilisha
Nawe waweza weka upofu wako hapa kale ukiwa mtoto
TUKUTANE HAPO IJUMAA KWENYE SHOW LA KIBABE LA BEIRA BABY BOY SHOW NIGGA
LONDON BABY