Hahahahaaaa wewe ndo ulikuwa mpofu afadhali ya mimiAis ee nilikuwa sijui watoto wanatokea wapi,nakumbuka mdogo wangu wa mwisho alipozaliwa namuuliza,mama huyu mtoto umemtoa wapi,akaniambia nimemtoa mtoni mwanangu.hahahaha. Those days
Aisee kwa vizaz vyetu wahenga hayo ni mambo ya kawaida kabisaa.Hahahahaaaa wewe ndo ulikuwa mpofu afadhali ya mimi
Duh kweli upofu hauna mjanjaMi nilikua najua wale watumishi wa altare kwa wakatoliki ni watoto wa padre,,,
Nilikua najua askari na wajeshi ni maroboti tu hawalii wala hawacheki
Nilikua najua hadi walimu wa shule ya msingi wamesoma mpaka chuo kikuu
Hakuna watu wanaofukia msosi kama waneneMi nlikua naamini watu wanene hawali chakula mana nlidhani miili yao mda wote ndani imejaa chakula na wameshiba
Ila saizi naamini tofauti kidogo mana kuna wanene nmekutana nao wanakula balaa .saiz naamini wanene hula sana