Upofu wangu hapo kale kuhusu baadhi ya mambo

Hahaa mbona wewe hujasema upofu wako momy
akhu mie upofu wangu ni wa kawaida, nilijua tu watoto wananunuliwa na wanapatika misituni
hahahahaha mie mhenga ujue maana watoto wa siku hizi wanajua vyote kabla ya miaka mitatu
 
Ahahaaaa watoto wanapatikana mstuni wewe ndo ulikuwa kipofu zaid kuna mwingine katangulia hapo juu yeye kasema alikuwa anajua watoto walikuwa wanatokea mton
 
me nilikuwa najua mwalimu wa shule ya msingi ndo msomi kuliko wote waliosoma
 
hahahahahah tulidanganywa sana jamani
Tena nyie wahenga kipind hicho kulikuwa hakuna cha tv wala nini mlikuwa mnadanganywa sana aisee sio kama siku hiv vitoto vinajua kila kitu
 
kulikuwa na TV wewe mkuu acha utani na wahenga wewe sema kulikuwa hakuna flat screen aisee
juzi nilimpitia sister duu mmoja R chuga nikamkuta na ile TV ya babu zetu nilicheka kweli

hakika vya kale vinadumu
 
Ni bora upofu umekutoka maana hiyo point namba 3 ungeendelea na upofu wako saa hizi ungeshakuwa marehemu..
 
To be honest, mi nilikuwa najua ukiposti barua, ukiingiza kwenye lile sanduku barua inaserereka mpaka kwa mlegwa. Nilidhani lile sanduku unaloingiza barua limeungwa n pipe mpaka kwa mlengwa. Dah, nilikuwa qurious sana.
 
hahahah mimi pia mkuu
 
kulikuwa na TV wewe mkuu acha utani na wahenga wewe sema kulikuwa hakuna flat screen aisee
juzi nilimpitia sister duu mmoja R chuga nikamkuta na ile TV ya babu zetu nilicheka kweli

hakika vya kale vinadumu
Wewe mhenga acha uongo wakati redio yenyewe mlikuwa mnaenda kusikiliza kwa mwenyekiti wa kijiji
 
Ni bora upofu umekutoka maana hiyo point namba 3 ungeendelea na upofu wako saa hizi ungeshakuwa marehemu..
Hahahahhhaa aya bhana nazan saiv ningekuwa nishafukiwa
 
To be honest, mi nilikuwa najua ukiposti barua, ukiingiza kwenye lile sanduku barua inaserereka mpaka kwa mlegwa. Nilidhani lile sanduku unaloingiza barua limeungwa n pipe mpaka kwa mlengwa. Dah, nilikuwa qurious sana.
Aisee pole sana vp kuhusu simu
 
Wewe mhenga acha uongo wakati redio yenyewe mlikuwa mnaenda kusikiliza kwa mwenyekiti wa kijiji
hahahahahahaha naona umenichoka mkuu, useme hata ile ya mkulima hatukuwa nayo sio? hahahahaha

haki umenichoka, wakati tulikuwa na redio kaseti kabisaaaa

teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…