jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,812
- 16,487
unajua nimecheka sana, hahahahhah kweli alikuwa na upofu hapo kaleKweli ulikuwa bonge la kipofu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unajua nimecheka sana, hahahahhah kweli alikuwa na upofu hapo kaleKweli ulikuwa bonge la kipofu
akhu mie upofu wangu ni wa kawaida, nilijua tu watoto wananunuliwa na wanapatika misituniHahaa mbona wewe hujasema upofu wako momy
Ahahaaaa watoto wanapatikana mstuni wewe ndo ulikuwa kipofu zaid kuna mwingine katangulia hapo juu yeye kasema alikuwa anajua watoto walikuwa wanatokea mtonakhu mie upofu wangu ni wa kawaida, nilijua tu watoto wananunuliwa na wanapatika misituni
hahahahaha mie mhenga ujue maana watoto wa siku hizi wanajua vyote kabla ya miaka mitatu
me nilikuwa najua mwalimu wa shule ya msingi ndo msomi kuliko wote waliosomaAman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habar hapo juu
Kuna vitu hapo kitambo vilikua vinanisumbua sana had baadaye nilipokuja kukua na kuvijua nilijishangaa sana kwakwel
Upofu wangu wa kwanza
NILIKUWA NA MPANGO WA KUJA KUOA SISTER WA KANISA KATOLIK yaan ndoto zangu zote hapo kitambo ilikuwa ni kuoa watawa wa kanisa nilikuwa navutiwa sana na mavaz yao hasa uvaaji wao wa kufunga vitambaa vyeupe kichwani. Kumbe masikn wa mungu hawa watu huwa hawaolewi wala hawazai
NILIKUWA NAJUA WALIMU HUWA HAWAEND CHOON huu nao ulikuwa ni upofu wangu mwingine katika mawazo yang yote nilikuwa najua walimu huwa hawanyi kabisa wala huwa hawaend choon hadi hapo baadae nilipokuja kujua nikabaki najishaangaa mwenyewe
NILIKUWA NAJUA UNAWEZA KUAZIMA MKE WA MTU KAMA UNAVYOAZIMA CHUMVI KWA JIRAN NA KWENDA KULALA NAYE. hapa ndo lilikuwepo tatizo kubwa sana yaan kuna mama mmoja alikuwa ameolewa na alikuwa ni mweupe sana hivo nilikuwa namuomba mungu nikue haraka ili nije niwe namwazima kwa mume wake nakwenda kulala naye yaan kupiga naye mbonji na kumuhondomola japo kwa week then namurudisha ..
Kumbe nilikuwa mpofu sana jaman ndugu zangu
Mungu anisamehe bure kwa kuwaza mambo ya kufuru kama hayo hapo zaman
Nawasilisha
Nawe waweza weka upofu wako hapa kale ukiwa mtoto
TUKUTANE HAPO IJUMAA KWENYE SHOW LA KIBABE LA BEIRA BABY BOY SHOW NIGGA
LONDON BABY
hahahahahah tulidanganywa sana jamaniAhahaaaa watoto wanapatikana mstuni wewe ndo ulikuwa kipofu zaid kuna mwingine katangulia hapo juu yeye kasema alikuwa anajua watoto walikuwa wanatokea mton
sikuwa naye hata mmojaDuh mkuu kwahiyo wewe hukua na ndugu afisa elimu
kulikuwa na TV wewe mkuu acha utani na wahenga wewe sema kulikuwa hakuna flat screen aiseeTena nyie wahenga kipind hicho kulikuwa hakuna cha tv wala nini mlikuwa mnadanganywa sana aisee sio kama siku hiv vitoto vinajua kila kitu
Ni bora upofu umekutoka maana hiyo point namba 3 ungeendelea na upofu wako saa hizi ungeshakuwa marehemu..Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habar hapo juu
Kuna vitu hapo kitambo vilikua vinanisumbua sana had baadaye nilipokuja kukua na kuvijua nilijishangaa sana kwakwel
Upofu wangu wa kwanza
NILIKUWA NA MPANGO WA KUJA KUOA SISTER WA KANISA KATOLIK yaan ndoto zangu zote hapo kitambo ilikuwa ni kuoa watawa wa kanisa nilikuwa navutiwa sana na mavaz yao hasa uvaaji wao wa kufunga vitambaa vyeupe kichwani. Kumbe masikn wa mungu hawa watu huwa hawaolewi wala hawazai
NILIKUWA NAJUA WALIMU HUWA HAWAEND CHOON huu nao ulikuwa ni upofu wangu mwingine katika mawazo yang yote nilikuwa najua walimu huwa hawanyi kabisa wala huwa hawaend choon hadi hapo baadae nilipokuja kujua nikabaki najishaangaa mwenyewe
NILIKUWA NAJUA UNAWEZA KUAZIMA MKE WA MTU KAMA UNAVYOAZIMA CHUMVI KWA JIRAN NA KWENDA KULALA NAYE. hapa ndo lilikuwepo tatizo kubwa sana yaan kuna mama mmoja alikuwa ameolewa na alikuwa ni mweupe sana hivo nilikuwa namuomba mungu nikue haraka ili nije niwe namwazima kwa mume wake nakwenda kulala naye yaan kupiga naye mbonji na kumuhondomola japo kwa week then namurudisha ..
Kumbe nilikuwa mpofu sana jaman ndugu zangu
Mungu anisamehe bure kwa kuwaza mambo ya kufuru kama hayo hapo zaman
Nawasilisha
Nawe waweza weka upofu wako hapa kale ukiwa mtoto
TUKUTANE HAPO IJUMAA KWENYE SHOW LA KIBABE LA BEIRA BABY BOY SHOW NIGGA
LONDON BABY
hahahah mimi pia mkuuTo be honest, mi nilikuwa najua ukiposti barua, ukiingiza kwenye lile sanduku barua inaserereka mpaka kwa mlegwa. Nilidhani lile sanduku unaloingiza barua limeungwa n pipe mpaka kwa mlengwa. Dah, nilikuwa qurious sana.
Wewe mhenga acha uongo wakati redio yenyewe mlikuwa mnaenda kusikiliza kwa mwenyekiti wa kijijikulikuwa na TV wewe mkuu acha utani na wahenga wewe sema kulikuwa hakuna flat screen aisee
juzi nilimpitia sister duu mmoja R chuga nikamkuta na ile TV ya babu zetu nilicheka kweli
hakika vya kale vinadumu
Aisee pole sana vp kuhusu simuTo be honest, mi nilikuwa najua ukiposti barua, ukiingiza kwenye lile sanduku barua inaserereka mpaka kwa mlegwa. Nilidhani lile sanduku unaloingiza barua limeungwa n pipe mpaka kwa mlengwa. Dah, nilikuwa qurious sana.
hahahahahahaha naona umenichoka mkuu, useme hata ile ya mkulima hatukuwa nayo sio? hahahahahaWewe mhenga acha uongo wakati redio yenyewe mlikuwa mnaenda kusikiliza kwa mwenyekiti wa kijiji