Upole wa mashabiki wa Simba

Upole wa mashabiki wa Simba

Pesanyingi

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2023
Posts
1,157
Reaction score
1,983
Kwa yanayoendelea Simba, hakika kama siyo utani wa jadi tungeweza kuwaalika(kuwakodi) mashabiki wa Yanga kwajili ya kutuondolea wanao cheza na akili za mashabiki wa Simba.

Kwanini nasema haya mashabiki wa Yanga linapokuja swala la viongozi kufanya madudu hawataki utani.
Amefukuzwa kocha Sawa, je yeye ndiyo alikuwa tatizo kwamba Sasa Simba inashinda mechi zake na kucheza vizuri.Jibu ni hapana,Viongozi Kwa haya hamkwepi lawama hizi hata kidogo.

Yaani ndiyo Uzi tayari huoo.
 
Galaxy kamfunga wydad na wao walitaka wachukue 6 points kwa galaxy, hata ingekuwa wewe lazima uwe mpole
 
Tulieni tuliwaambia msiende uwanjani mkatuona nyani...

Tulieni.
 
Back
Top Bottom