JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Hakuna asiyejua kwamba Wasukuma ndio wengi hapa nchini. Na kwa Hari ilivyo unaweza sema wako kila kona ya nchi.
Wasukuma hawajawahi kubishana mambo ya ukabila hadharani wao ni nduhu tabu (yaani hakuna shida).
Hizi choko choko dhidi yao ipo siku zitaamsha hisia za ndani na wataanza kushirikiana vizuri na huo Ndio utakuwa mwanzo wa ukabila hapa nchini. Na haitatokea Rais kutoka kabila jingine.
Baada ya kifo Cha Magufuli, Wasukuma wamebagazwa sana kwenye mitandao lakini bado wanaendelea na kuchapa kazi na hawana shida na hayo.
Siasa zinazoendelea ndani ya Chadema hazina afya hasa ukizingatia wasukuma wametoka kumzika kiongozi wao mkuu. Wanahitaji faraja na sio kutukanishwa. Nami niseme, yaliyopita si ndwele tugange yajayo.