Lissu hataki hata kuisikia hiyo kesi, akiulizwa huenda akasema Mbowe aondoe kabisa mawakili mahakama iamue itakavyoamua.
Fatma Karume alinyang'anywa leseni yake ya uwakili na kina Feleshi enzi za jiwe kwa sababu za "kutukana"
Mkono yuko wapi? Bado ni mgonjwa ?Bado ni mbunge kupitia CCM?
Huyo El- Maamry ndio nani?
Ulitaka Kibatala afanye nini?Sawa ila iwe kwa utaratibu
tazama:-
The process of examining, cross examining and impeaching witnesses and presenting various forms of evidence in court is subject not only to rules of evidentiary admissibility such as relevance and hearsay, and rules of evidentiary procedure (e.g. Rule 611), but also to rules of lawyers’ ethics.
While courtroom lawyers are expected to be vigorous advocates for their respective clients’ legal and factual contentions, they are not unbounded in their presentation of factual material. As officers of the court, lawyers are ethically forbidden from making direct assertions of fact they know are false. They are also barred from presenting testimony that they know is perjurious. How do lawyers reconcile their roles as partisan adversaries with a standard of candor in their dealings with facts in court?
Afanye anachotakiwa kufanya bila kuvunja taaratibu na miiko yake ya kazi yake
Jaribu kunyoosha Kiingereza chako kikae sawa au tumia tu Kiswahili, naamini ni sahihi kukukosoa kwenye lugha kama wewe unavyomkosoa Kibatala kwenye sheria.It does not matter, what matter is that it is improper for a lawyer to call a witness a liar; all the lawyer has to show is pointing to the lies that is established and that can be done in the final submission.
Kibatala anatakiwa akafanye kazi nje kama south africa walau miaka miwili aone jinsi mawakili wa utetezi wanavyoweza kupangua kesi
Kesi ya mteja wa kibatala inayoweza kuchukua miezi mitatu kuisha,kwa kibatala inaweza kuchukua hata miaka miwili na bado akashindwa
Mara atakata rufaa mahakama kuu kuwa mteja alisachiwa usiku wa manane,mara atafungua kesi ndani ya kesi kumpinga tu shahidi,matokeo concentration kwa kesi ya msingi inapungua na jamhuri inazidi kujipanga
Kesi ya sugu ilikua hivyo hivyo mwisho akajitoa na kwa mdude hivyo hivyo
Hivi Fatma hakurudishiwa leseni?Lissu hataki hata kuisikia hiyo kesi, akiulizwa huenda akasema Mbowe aondoe kabisa mawakili mahakama iamue itakavyoamua.
Fatma Karume alinyang'anywa leseni yake ya uwakili na kina Feleshi enzi za jiwe kwa sababu za "kutukana"
Mkono yuko wapi? Bado ni mgonjwa ?Bado ni mbunge kupitia CCM?
Huyo El- Maamry ndio nani?
Sasa hivi mmekosa chakusema kuhusu kesi mmekimbilia kumkosoa Kibatala. Hivi hamuoni makosa wafanyayo mawakili wa serikali kupitia mashahidi wao?Afanye anachotakiwa kufanya bila kuvunja taaratibu na miiko yake ya kazi yake
Ndio tatizo lenu linapianzia hapoKesi ya Mandelea ilichukua miaka mingapi na alifungwa au hakufungwa miaka 27 gerezani huku dunia yote ikishuhudia ?
Kesi ya Zuma enzi za makaburu ilichukua muda gani na alifungwa au hakufungwa miaka 9?
Kesi Mugabe ilichukua muda gani na alifungwa au hakufungwa gerezani miaka 10?
Anayedanganya hana jina jingine zaidi ya MUONGO... Labda kama unataka kutanguliza mkokoteni mbele ya punda na huku utegemee luende... Yaani mkokoteni umvute pundasoma uelewe-huna sababu ya kutumia mtazamo wala maoni yangu
Mkamateni kwa hilo, kama ambavyo yeye amewakamata kwa kuchomoa documents za mahakama na kuzitumia kwenye ushahidi mahakamani hapo hapoAfanye anachotakiwa kufanya bila kuvunja taaratibu na miiko yake ya kazi yake
Ndio tatizo lenu linapianzia hapo
Huwezi kumfananisha mandela na mbowe
.nionyeshe tu kosa liko wapi nami nikiridhika nitasahihisha
Ni proofreading na siyo proof reading.Hongera. Try to recheck your grammar before sending a chat. Proof reading is a very basic practice to show that your are smart. Ni wazo tu.
it is a good homework