Upon reading these notes, you will conclude that Kibatala is a novice lawyer

Upon reading these notes, you will conclude that Kibatala is a novice lawyer

Lissu hataki hata kuisikia hiyo kesi, akiulizwa huenda akasema Mbowe aondoe kabisa mawakili mahakama iamue itakavyoamua.

Fatma Karume alinyang'anywa leseni yake ya uwakili na kina Feleshi enzi za jiwe kwa sababu za "kutukana"

Mkono yuko wapi? Bado ni mgonjwa ?Bado ni mbunge kupitia CCM?

Huyo El- Maamry ndio nani?

SAID EL-MAAMRY​

ADVOCATE at SAID ELMAAMRY ADVOCATES​

Ila ni marehemu sasa​

Sawa ila iwe kwa utaratibu
tazama:-

The process of examining, cross examining and impeaching witnesses and presenting various forms of evidence in court is subject not only to rules of evidentiary admissibility such as relevance and hearsay, and rules of evidentiary procedure (e.g. Rule 611), but also to rules of lawyers’ ethics.
While courtroom lawyers are expected to be vigorous advocates for their respective clients’ legal and factual contentions, they are not unbounded in their presentation of factual material. As officers of the court, lawyers are ethically forbidden from making direct assertions of fact they know are false. They are also barred from presenting testimony that they know is perjurious. How do lawyers reconcile their roles as partisan adversaries with a standard of candor in their dealings with facts in court?
Ulitaka Kibatala afanye nini?
 
Kibatala anatakiwa akafanye kazi nje kama south africa walau miaka miwili aone jinsi mawakili wa utetezi wanavyoweza kupangua kesi
Kesi ya mteja wa kibatala inayoweza kuchukua miezi mitatu kuisha,kwa kibatala inaweza kuchukua hata miaka miwili na bado akashindwa
Mara atakata rufaa mahakama kuu kuwa mteja alisachiwa usiku wa manane,mara atafungua kesi ndani ya kesi kumpinga tu shahidi,matokeo concentration kwa kesi ya msingi inapungua na jamhuri inazidi kujipanga
Kesi ya sugu ilikua hivyo hivyo mwisho akajitoa na kwa mdude hivyo hivyo
 
Akiendelea hivyo anaweza kunyang'anywa leseni yake ya uwakili kama Fatma Karume?
Afanye anachotakiwa kufanya bila kuvunja taaratibu na miiko yake ya kazi yake
 
It does not matter, what matter is that it is improper for a lawyer to call a witness a liar; all the lawyer has to show is pointing to the lies that is established and that can be done in the final submission.
Jaribu kunyoosha Kiingereza chako kikae sawa au tumia tu Kiswahili, naamini ni sahihi kukukosoa kwenye lugha kama wewe unavyomkosoa Kibatala kwenye sheria.
 
Kesi ya Mandelea ilichukua miaka mingapi na alifungwa au hakufungwa miaka 27 gerezani huku dunia yote ikishuhudia ?

Kesi ya Zuma enzi za makaburu ilichukua muda gani na alifungwa au hakufungwa miaka 9?

Kesi Mugabe ilichukua muda gani na alifungwa au hakufungwa gerezani miaka 10?
Kibatala anatakiwa akafanye kazi nje kama south africa walau miaka miwili aone jinsi mawakili wa utetezi wanavyoweza kupangua kesi
Kesi ya mteja wa kibatala inayoweza kuchukua miezi mitatu kuisha,kwa kibatala inaweza kuchukua hata miaka miwili na bado akashindwa
Mara atakata rufaa mahakama kuu kuwa mteja alisachiwa usiku wa manane,mara atafungua kesi ndani ya kesi kumpinga tu shahidi,matokeo concentration kwa kesi ya msingi inapungua na jamhuri inazidi kujipanga
Kesi ya sugu ilikua hivyo hivyo mwisho akajitoa na kwa mdude hivyo hivyo
 
Lissu hataki hata kuisikia hiyo kesi, akiulizwa huenda akasema Mbowe aondoe kabisa mawakili mahakama iamue itakavyoamua.

Fatma Karume alinyang'anywa leseni yake ya uwakili na kina Feleshi enzi za jiwe kwa sababu za "kutukana"

Mkono yuko wapi? Bado ni mgonjwa ?Bado ni mbunge kupitia CCM?

Huyo El- Maamry ndio nani?
Hivi Fatma hakurudishiwa leseni?
El- Maamry Kama sikosei ni wakili maarufu hapa Tz ila wadau watadhibitisha
 
Jaribu kunyoosha Kiingereza chako kikae sawa au tumia tu Kiswahili, naamini ni sahihi kukukosoa kwenye lugha kama wewe unavyomkosoa Kibatala kwenye sheria.
nionyeshe tu kosa liko wapi nami nikiridhika nitasahihisha
 
Afanye anachotakiwa kufanya bila kuvunja taaratibu na miiko yake ya kazi yake
Sasa hivi mmekosa chakusema kuhusu kesi mmekimbilia kumkosoa Kibatala. Hivi hamuoni makosa wafanyayo mawakili wa serikali kupitia mashahidi wao?
 
Kesi ya Mandelea ilichukua miaka mingapi na alifungwa au hakufungwa miaka 27 gerezani huku dunia yote ikishuhudia ?

Kesi ya Zuma enzi za makaburu ilichukua muda gani na alifungwa au hakufungwa miaka 9?

Kesi Mugabe ilichukua muda gani na alifungwa au hakufungwa gerezani miaka 10?
Ndio tatizo lenu linapianzia hapo
Huwezi kumfananisha mandela na mbowe
 
soma uelewe-huna sababu ya kutumia mtazamo wala maoni yangu
Anayedanganya hana jina jingine zaidi ya MUONGO... Labda kama unataka kutanguliza mkokoteni mbele ya punda na huku utegemee luende... Yaani mkokoteni umvute punda
 
Afanye anachotakiwa kufanya bila kuvunja taaratibu na miiko yake ya kazi yake
Mkamateni kwa hilo, kama ambavyo yeye amewakamata kwa kuchomoa documents za mahakama na kuzitumia kwenye ushahidi mahakamani hapo hapo
 
You can't conclude the novicity of a lawyer by considering only a single factor. Unless you are sent to destroy his reputation.
 
nionyeshe tu kosa liko wapi nami nikiridhika nitasahihisha
.
IMG_20211114_110456.jpg
 
Hapa naona kuna mpambano kati ya lawyers vs nyumbu,

Hapa lawyers lazima wagalagazwe maana nyumbu knows everything.
 
it is a good homework
Search for: When should I use matter or matters?

How do you use matter in a sentence?

Matter sentence example
  1. As a matter of fact, I think we're on completely different planets. ...
  2. "It doesn't matter ," Alex said. ...
  3. It was only a matter of days. ...
  4. The Trinity--the three elements of matter --are sulphur, mercury, and salt. ...
  5. As a matter of fact, I'm eating rainbow grass.
 
Back
Top Bottom