".....Waliotubu na Kukiri Makosa: Katika imani nyingi na mahusiano ya kijamii, mtu anayekubali kosa lake, anayeonyesha majuto ya dhati, na kuomba radhi ndiye anayestahili zaidi kusamehewa..."Mnaonaje tukimsamehe Samia Suluhu Hassan?ππππ
Gentleman,Naona chama cha majambazi wanatafuta kwa nguvu sana kusamehewaπ
Sihitaji hizi ngonjera za kizandiki na kinafiki amq hekaya za Abunuwasi.. Kwangu mimi hicho chama ni takataka niliyoizika kuzimu kwenye ulimwengu wa rohoGentleman,
CCM haihitaji msamaha wala huruma useless kutoka kwa mtu au watu wowote wale, kwasababu, daima CCM ni perfect katika mambo yake na ni pure innocent before the law and God π
Sihitaji hizi ngonjera za kizandiki na kinafiki amq hekaya za Abunuwasi.. Kwangu mimi hicho chama ni takataka niliyoizika kuzimu kwenye ulimwengu wa roho
Gentleman,Sihitaji hizi ngonjera za kizandiki na kinafiki amq hekaya za Abunuwasi.. Kwangu mimi hicho chama ni takataka niliyoizika kuzimu kwenye ulimwengu wa roho